Nimehangaika sana bila mafanikio

Sawa ntafanya ivo japo kusema ukweli ananisaidia sana kupambana na hii hali na anaonesha kutojali ili nisiwe na mawazo hapo ndo huwa najipa iman huenda sio yeye
🤣🤣 unawajua wachawi wewe anakuroga na kila siku asubuh unawah kukuangalia unaendeleaje,,, kama mchepuko ulimlipa kama mlivyokubaliana hawez kukufanyia ivo kwanza mi kwa mchepuko siamin kabisa ila mkeo atakuwa aliweka tego ambalo kashindwa kulitegua uvumilivu wake anajua alipokosea ni mawazo tu
 
Kuna vidonge vya tiba hio. Ulizia hospitali ya mikocheni. Vidonge vimeandikwa MenPlus au itwa mwanaume. Unatumia mwezi mmoja pamoja na dawa ya maji. Hio ni mishipa ndio yenye shida. Mimi vilinisaidia. Unaweza kuongea na daktari wa mikochrni akakushauri. 0719794789
 
wewe ilikuwa haisimami kabisa?
 
Kuna mtu mmoja ndugu yake aliwahi kupata tatizo kama hilo shida hiohio kuchepuka mchep akamfunga na walimtafutia mtaalamu aliaguliwa akapina vizuri tu mikoa ya kusini huko vipi ushatatua au nikuunganishe nae??
 
Hospital gani inaitwa
 
Kuna mtu mmoja ndugu yake aliwahi kupata tatizo kama hilo shida hiohio kuchepuka mchep akamfunga na walimtafutia mtaalamu aliaguliwa akapina vizuri tu mikoa ya kusini huko vipi ushatatua au nikuunganishe nae??
Mkoa gani mkuu specific
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…