Nimeharibu mahusiano ya mchepuko wangu na bodaboda wake

Uyu Mchepuko Ni pasua KICHWA Sana,
Yaan drama zake uyu haziishi ndo maana nmekua navutiwa sana kuandika matukio yake kila mara[emoji4]
Utafika umechoka sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Jamaa anamsuli wa kuandika balaa utafikiri
Ontario.

Mzee wa kula KIMASIHARA kuna siku uzi wako ulikuwa unajadiliwa kwenye space hahs
[emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Walikuwa wanauponda eehe ntawafungaaa
 
Hivi yule dogo Mwenye gari la mkopo ulimhamisha mkoani au maana sikuona mwendelezo au ulimfanyeje
Mpango wa kumhamisha tayar,
MDA wowote anahama, Nasubir TU majibu kwa wakubwa wake[emoji4]
 
All in all ww ni good story teller ila kitu ambacho sijaelewa hiyo plan ya kumpiga mtungo mama j mwanzo ilikuwa serious au mtego tu kwa boda? Je boda angevua nguo pale ungeruhusu akala mbususu
Mtungo Ilkua Ni plan tu, ili kumhamasisha.
Angevua isingewezekana maana mwanamke asingekubali.

Tukiwa kitandani tushapanga na Mchepuko Wangu tumzingue TU jamaa yetu uyo[emoji4]

Mpango mzima nilikua naucontrol Mimi,
Nilichokua nafanya Ni kucheza vizur na akili zao wote wawili, Nang'ata uku Kisha napuliza kule[emoji4]
 
Naelewa mie mwenyewe huwa natumia sana hizo mbinu ila wewe mi mwalimu. Yani hapa najifunza na mbinu zingine za ukomavu wa fitna.
Ili ucheze fitna vizur,
Hupaswi kupanik na kuendeshwa na mihemko.

Yaan unacheza karata zako utadhan huna Moyo.

Can u imagine unaona live mpenz wako anatomaswa uku na kule, afu unameza Pini Kama sio wewe.[emoji4]
 
Thread za humu JF zina msimu kama wa mvua, watu wameona thread za penzi la bodaboda zinasomwa sana na wenyewe wameona watembelee humohumo ili wapate wachangiaji wengi.
 
Thread za humu JF zina msimu kama wa mvua, watu wameona thread za penzi la bodaboda zinasomwa sana na wenyewe wameona watembelee humohumo ili wapate wachangiaji wengi.
Sio kila mtu anaishi kwa matukio mkuu
 
Nimejitahidi kuumaliza huu uzi lakini nimeishia kumaliza tu popcorn zangu za laki moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…