Nimeharibu mahusiano ya mchepuko wangu na bodaboda wake

Nimeharibu mahusiano ya mchepuko wangu na bodaboda wake

Hivi DP mama J unachukuliaje?mbona Kama unampenda Ila unavyomtreat Kama kahaba?maana sidhani mtu unayemuheshimu utamuita boda chumbani mnadoo aingie,Mara unampiga chabo anachezewa nyeti zake,hebu nifafanulie hii imekaaje?,...Unless otherwise U're Using her,unamtumia mtoto wa mtu kwa faida zako binafsi
 
Mimi nina mchepuko wangu huyo balaa yani kila siku vitimbi juzi kanipikia wali bila mboga na wakati jana yake usiku nmemuachia hela ya matumizi yani leo hili kesho hili tunaachana siku mbili tunarudiana wiki
 
Ili ucheze fitna vizur,
Hupaswi kupanik na kuendeshwa na mihemko.

Yaan unacheza karata zako utadhan huna Moyo.

Can u imagine unaona live mpenz wako anatomaswa uku na kule, afu unameza Pini Kama sio wewe.[emoji4]
Daaah! Kweli mkuu, mie ningeweza kuingia na dirisha.
 
Hivi DP mama J unachukuliaje?mbona Kama unampenda Ila unavyomtreat Kama kahaba?maana sidhani mtu unayemuheshimu utamuita boda chumbani mnadoo aingie,Mara unampiga chabo anachezewa nyeti zake,hebu nifafanulie hii imekaaje?,...Unless otherwise U're Using her,unamtumia mtoto wa mtu kwa faida zako binafsi
Kumuingiza chumbani ndani ilikua Ni sehemu ya plan yangu. Hasa kumbuka nishamuaminisha boda kwamba Kuna suala la kumpiga threesome,
Ila sio threesome kiuhalisia, Bali nimvute kwny engo nzuri ili Lengo la kuwafarakanisha wachukiane daima litimie.

Kwaiyo nilikua nalazimika nifanye hivo

Lengo lilikua .

Na nashkuru MUNGU,
Ilinisaidia kujua kwamba jamaa alishamfanyia Zaid ya Yale niliishuhudia iyo ijumaa .

Rejea sentensi ya jamaa kwamba
"jaribio hili Mbona lilishafanyika na likashindwa".
 
Kumuingiza chumbani ndani ilikua Ni sehemu ya plan yangu. Kwaiyo nilikua nalazimika nifanye hivo

Lengo lilikua kumuaminisha bodaboda Lile suala la threesome, ili nimvute engo nzuri ya kuwafarakanisha.

Na nashkuru MUNGU,
Ilinisaidia kujua kwamba jamaa alishamfanyia Zaid ya Yale niliishuhudia iyo ijumaa .

Rejea sentensi ya jamaa kwamba
"jaribio hili Mbona lilishafanyika na likashindwa".
Unaweza kumuingiza mtu chumbani ukiwa na mke wako yule wa home?
 
Mimi nina mchepuko wangu huyo balaa yani kila siku vitimbi juzi kanipikia wali bila mboga na wakati jana yake usiku nmemuachia hela ya matumizi yani leo hili kesho hili tunaachana siku mbili tunarudiana wiki
Aisee uyo wako Kama wangu, kipind tunaanza Anza[emoji4]
 
Episode ya ngapi hii rafiki? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bodaboda mzembe Sana,
Sema Nadhan alichukulia mwanamke Ndo amuanze,wkt mazingira yote yalikua wazi kumaliza.
 
Unaona Sasa!kwenye fasihi tulijifunza nafasi ya mwanamke katika jamii,,,Sasa nafasi ya mama J hapa inaoneka Kama mwanamke Ni Chombo Cha starehe na kiburudisho.......Dah unamtumia Sana bila malengo huyo mdad
Yeye mwnyw Ndo hatak kunifanya wa malengo.

Ana akil za kushikwa,
Just imagine mtu anakushaur uachane na mwanaume wako,ukatafte mtu Baki tu yeyote uzae nae na unakubali kwa moyo mmoja.

Na nahs uyu boda alikua keshaingizwa kwny mpango KAZI wa kumtegea mimba ili kumzalisha kilazima.

Kuna kutumia akili kweli hapo?
 
Back
Top Bottom