Nimeharibu mahusiano ya mchepuko wangu na bodaboda wake

Anapenda Ila anashindwa kumuweka sawa...

Shughuli anayo.. ..mwanamke wa hivyo ..uwe umechangamka..ukijisahau tu..kosa!.. na wewe mwenyewe ndio vile vile..ndio maana Ni ngumu kuachana..
 
Mkuu nimeipenda simulizi yako.

Kuna jambo umeniacha hewani nalo, hili jambo la mchepuko kutaka kuzaa vyovyote wakati wewe ukiwepo, ushafanya "vasectomy" nini?

"Mama J wangu", J ni mtoto wa ngapi kwenu, kama mlizaa wakati ule, iweje sasa unambania mpaka atake kuzaa ovyo ovyo?

Nikisema umenigusa na hii stori, sitakuwa nimesema sawa sawa, bali niseme umenizoa nayo kimaadili mtu mzima mie!
 
Ha ha ha....
Ananipa Changamoto Sana mwanamke uyu.

Yaan nikimmiss maishan mwangu mwili wote unapoa kabisa, heka hela zake Ni fantastic sana[emoji4]
Siyo bure tu. Wewe tayari limbwata linahusika.
 
🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…