COMOTANG
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 2,131
- 1,821
Mkuu nitafute tuwafunze adabuMimi nilikuwa sinaga Habari kabisa na uchawi, lakini yalivonikuta hadi mji wangu mwenyewe nikaukimbia.
Nawaza narudi vipi kwenye boma langu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nitafute tuwafunze adabuMimi nilikuwa sinaga Habari kabisa na uchawi, lakini yalivonikuta hadi mji wangu mwenyewe nikaukimbia.
Nawaza narudi vipi kwenye boma langu
Ngoja Mshana aje,utajikuta unaamkia kilingeni kwake hapo MsataUchawi hakuna hizo imani tu
Kumbe jamaa wizard yule 😅😅😅Ngoja Mshana aje,utajikuta unaamkia kilingeni kwake hapo Msata
Halafu alipoamka akaanza kuitangaza injili au ilikuwaje! Kusema ni mlokole si shida, nguvu inakuja je! Imani na Matendo vinaenda pamoja?Wanaosema haupo wanaigizatu.
Nina rafiki yangu mlokole mapema mwaka huu alijikuta amelala nje na bukta na kuamshwa na wapangaji wenzie. Alipoingia ndani chumbani kwake pamefungwa wakajikuta wanavunja kitasa.
Usicheze na miziziology.
Yani labda mtu aseme anajua uchawi upo ila yeye haamini kwamba atadhiriwa na uchawi,huyo unaweza ukaanza kujadiliana nae lakini anaesema hakuna uchawi wakati umejadiliwa kwenye vitabu vitukufu vya Mungu hapo nitakuona chupa inapoza.
Ni wachawi kweli ukiongelea uchawi wanavyokupinga ila kutwa kwenye viringe jiulize huwa wanafuata nini!ashukuru mungu gani? hawa wa hivi ndo wachawi haswaaa!! usiwaone poa!! hizi ndo tabia zao kutoteza watu!! nilisha muona hapa kwa matunguli yangu
Alihama nyumba kabla ya miezi mitatu kodi kuishaHalafu alipoamka akaanza kuitangaza injili au ilikuwaje! Kusema ni mlokole si shida, nguvu inakuja je! Imani na Matendo vinaenda pamoja?
mchawi ana akili anataka watu wenye impact kwa jamii. Wenye nyota zinazo waka yamkini watoto wa Mungu.Story za kusadikika hizo. Hata mimi naweza kuandika kisa hapa kuhalalisha uwepo wa uchawi ila haimaanishi kuwa hiyo story ni ya kweli. Story zote za uchawi ni hearsay, mtu anasimuliwa nae anaenda kusimulia by the time story inamrudia muasisi ishabadilika na kuongezewa chumvi zaidi.
Aidha sio kila kitu ambacho hakina rational explanation ni uchawi.
Uchawi ni story zinazoaminiwa na wavivu wa kufikiri na kuenezwa na wajinga.
mchawi ana akili anataka watu wenye impact kwa jamii. Wenye nyota zinazo waka yamkini watoto wa Mungu.
Km una kimavi mchawi hakutaki akupeleke wapi??? Wkt ni mwenzake tuu??hata hiyo shetani anakuzidi kwa ubora sasa wa nini wewe??
Madhara yake huyo shetani kamwe hutayajua!!maana weye ni mwenzake
Mdarisalama hawezi kumshobokea mwanakijiji. Tajiri km marehemu Mengi hashoboki kwa maskini...
Sawa na jike akili timamu kutamani jike lenzake haliwezi kumtundika mimba.likapata watoto!!
Nikuroge weye maskini???!!! Loool! Ni matumizi mabaya ya uchawi!!Okoa nguvu na muda niroge kesho nisije jukwani.
Mkuu,ni kweli uchawi upo,lkn tusiupe promo Kiasi Cha kusahau yupo Mungu mweza wa yote,yeye ndiye muumba wa mbingu na nchi na vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana.Muwe mnasikia tu fulani karogwa, anasumbuliwa na wachawi usiku, n.k haya mambo yakiwakuta ndo mtaijua anaeisimulia mvua basi iliwahi kumnyeshea,
Nguvu za giza haziwezi kuonekana kwa macho yetu ya kawaida wala kupimwa na vifaa vya kisayansi, Aliedhuriwa na haya mambo kumbishia ni sawa na kumbishia mtu kaota ndoto fulani maana huwezi kuhakikisha alichoota, haiwezekani, hata mtu akirogwa bado ipo gizani ndio mana hata ukienda hospitalini utaambiwa mashine haziwezi kugundua chanzo cha ugonjwa wako
Binafsi nilikaa nyumba moja, ikifika saa saba kuna vishindo mithiri ya mtu anakwangua ukuta kwa nondo, na hii ilikuwa kwa wapangaji wote ila ukitoka nje kucheku huko nyuma hakuna kitu.
Ni mpaka siku moja mida hio saa saba kikalia kishindo kikubwa sana paaaa! juu ya bati kila mpangaji alitoka nje ila hakukuonekana kitu, baada ya kufatilia kumbe kuna mlangaji moja alikuwa anateswa na hawa watu usiku, babu yake alikuja siku hio hapo na kuweka mtego wake.
Tukio lengine kuna mtoto moja alikuwa na miaka mitano alikuwa mzima wa afya, ghafla akawa kipofu, kiziwi na hata kushindwa kuongea, Wazazi wake wakagundua hii hali si kawaida, walimpeleka hospitali nyingi muhimbili, kcmc, n.k ilibidi apelekwe kijijini kwa mzee wake, siku hio hio walirudi na mtoto akawa hali ya kawaida kabisa
Hapo zamani sijui kama sikuhizi bado vipo, Mashuleni ya porini huko boarding visa vya wanafunzi kukutana na vibwengo ilikuwa ni kawaida sana
Mwengine nakumbuka alivimba sana miguu, walimsihi sana waende kwao kuchekiwa ila alikua haamini hvi vitu, hata miezi miwili haikufika tukamzika.
Nikuroge weye maskini???!!! Loool! Ni matumizi mabaya ya uchawi!!
Tunaokoa uhai/watu,siyo muda, kasome tena! wokovu wa nguvu ni theories za kuzimu. Umedanganywa na padri wako!
Let me tell u somethin! Dat u!ll never know!! en i think u know but hypocrisy is ur'prob.Watu mnaoamini uchawi mnachekesha sana kama dishi limeyumba.
To each their own. More power to you.
Wewe ndio mchawi mwenyewe.Hizo ni imani tu na wenge lenu usiku
Hakuna kitu kama hicho (uchawi) uyo mtoto aliyekuwa kipofu, kiziwi nk apelekwe hospitali utapewa chanzo na nini kifanyike
Wewe ndio mchawi mwenyewe.
Kiranga wa pili huyuUchawi ni nini?
Mchawi ni nani?
Utamtambuaje mchawi?
Sio wewe mkuu, ila wewe ni mchawi... Samahani lakini.Wacha kunifananisha na vitu vya kijinga