Nimehitimisha kwamba watu wasioamini uchawi upo hayajawakuta, na yakiwakuta huteseka bila kupona mpaka kifo

Wanaosema haupo wanaigizatu.
Nina rafiki yangu mlokole mapema mwaka huu alijikuta amelala nje na bukta na kuamshwa na wapangaji wenzie. Alipoingia ndani chumbani kwake pamefungwa wakajikuta wanavunja kitasa.
Usicheze na miziziology.
Yani labda mtu aseme anajua uchawi upo ila yeye haamini kwamba atadhiriwa na uchawi,huyo unaweza ukaanza kujadiliana nae lakini anaesema hakuna uchawi wakati umejadiliwa kwenye vitabu vitukufu vya Mungu hapo nitakuona chupa inapoza.
 
Halafu alipoamka akaanza kuitangaza injili au ilikuwaje! Kusema ni mlokole si shida, nguvu inakuja je! Imani na Matendo vinaenda pamoja?
 
ashukuru mungu gani? hawa wa hivi ndo wachawi haswaaa!! usiwaone poa!! hizi ndo tabia zao kutoteza watu!! nilisha muona hapa kwa matunguli yangu
Ni wachawi kweli ukiongelea uchawi wanavyokupinga ila kutwa kwenye viringe jiulize huwa wanafuata nini!
 
member wa jf kushindwa kuamini uchawi wakati humu kuna mchawi pro max ni kujitakia tuu
 
Halafu alipoamka akaanza kuitangaza injili au ilikuwaje! Kusema ni mlokole si shida, nguvu inakuja je! Imani na Matendo vinaenda pamoja?
Alihama nyumba kabla ya miezi mitatu kodi kuisha
Uchawi upo labda mtu akatae kama nguvu ya uchawi haimdhuru
 
mchawi ana akili anataka watu wenye impact kwa jamii. Wenye nyota zinazo waka yamkini watoto wa Mungu.

Km una kimavi mchawi hakutaki akupeleke wapi??? Wkt ni mwenzake tuu??hata hiyo shetani anakuzidi kwa ubora sasa wa nini wewe??
Madhara yake huyo shetani kamwe hutayajua!!maana weye ni mwenzake

Mdarisalama hawezi kumshobokea mwanakijiji. Tajiri km marehemu Mengi hashoboki kwa maskini...

Sawa na jike akili timamu kutamani jike lenzake haliwezi kumtundika mimba.likapata watoto!!
 

Okoa nguvu na muda niroge kesho nisije jukwani.
 
Okoa nguvu na muda niroge kesho nisije jukwani.
Nikuroge weye maskini???!!! Loool! Ni matumizi mabaya ya uchawi!!

Tunaokoa uhai/watu,siyo muda, kasome tena! wokovu wa nguvu ni theories za kuzimu. Umedanganywa na padri wako!
 
Mkuu,ni kweli uchawi upo,lkn tusiupe promo Kiasi Cha kusahau yupo Mungu mweza wa yote,yeye ndiye muumba wa mbingu na nchi na vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana.
 
Jamaa mara kibao tu anajikuta kalazwa chooni wahuni wanakula mzigo kwa mkewe, mume akiulizwa kwa nini anapiga mzigo usingizini anashangaa tu
 
Nikuroge weye maskini???!!! Loool! Ni matumizi mabaya ya uchawi!!

Tunaokoa uhai/watu,siyo muda, kasome tena! wokovu wa nguvu ni theories za kuzimu. Umedanganywa na padri wako!

Watu mnaoamini uchawi mnachekesha sana kama dishi limeyumba.

To each their own. More power to you.
 
Watu mnaoamini uchawi mnachekesha sana kama dishi limeyumba.

To each their own. More power to you.
Let me tell u somethin! Dat u!ll never know!! en i think u know but hypocrisy is ur'prob.

"witchcrafts has been there for centuries till today!! its operating in a broad day light" deceive u not!

If not so! think twice what do u own personally!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…