Nimehitimu kidato cha sita natafuta kazi

Nimehitimu kidato cha sita natafuta kazi

wa log

Member
Joined
Jul 1, 2015
Posts
76
Reaction score
54
Mimi mkazi wa Dar es Salaam, elimu yangu ni mhitimu wa form six. Ninatafuta kazi yoyote.

Experience yangu ni katika kubeba mizigo mizito, na kibarua wa kujenga. Pia nina ujuzi wa kutumia computer. Naomba nisaidie Kama una connection kwenye makampuni ya ujenzi, na ya usafirishaji.

Niko tayari kwenda hata mikoani.

Help please.

Namba ya simu 0672277500.
 
Hope utapata ndugu.
 
ingia ajira portal ya serikali kuna nafasi za advance sec uapply
 
Form Six Kazi ya nini?? Nenda shule kijana mdogo usijikomaze
 
Jaribu kuandika CV upeleke KFC, Pizza hut au Shoppers supermarket upate sehem ya kujishikiza mpaka muda wa Chuo ukifika
Pia kuna Wool worth, RedTag na Village super market
 
Back
Top Bottom