Nimehitimu Kidato cha Sita, nina lengo la kusomea sheria. Vigezo vyake vinakuwaje?

Nimehitimu Kidato cha Sita, nina lengo la kusomea sheria. Vigezo vyake vinakuwaje?

Goodluck samson

New Member
Joined
May 31, 2024
Posts
1
Reaction score
0
Mm mwanafunzi niyemaliza kidato cha sita ninalengo la kusomea sheria vigezo vyake vinakuwaje kulingana na ufahulu
 
Achana na Sheria, Kasome Business Administration utanishukuru badae.

Hii txt yangu isev unaweza kuja kuikumbuka baada ya miaka 6 kama ukisoma sheria.
 
Back
Top Bottom