Maharifa Ni nini?Masters alafu unalia lia na ajira! Kama imekupa maharifa jiajiri!
Mbona kuandika shida, by the way I canHabar za jioni wana jukwaa,
Ninaomba msaada mimi ni muhitimu wa master ya elimu Usimamizi na Utawala...
Ni ile kama ya fundi mayikoMaharifa Ni nini?
hivi kumbe confidence building wanafundishwa na kusoma watu wa diplomasia tu, kada nyingine hawafundishwi?🐒Habar za jioni wana jukwaa,
Ninaomba msaada mimi ni muhitimu wa master ya elimu Usimamizi na Utawala.
Sasa tokea nimalize nimekua natafuta kuhama idara japo nisogee katika idara zingine mfani Necta TET TEA na kwingine ambapo nina endana na elimu yangu.
Kama kuna mwanajukwaa anaweza nisaidia kupata namna ya kuchimoka tuwasiliane
Kwaio tunawasiliana lin kk
Ufaulu mzur kk sema conection ngum km unaweza nisaidia fanya jambohivi kumbe confidence building wanafundishwa na kusoma watu wa diplomasia tu, kada nyingine hawafundishwi?🐒
uoga wako ndio umaskini wako....
mbona jambo naona kabisa liko ndani ya uwezo wako...
hebu vaa ujasiri, vua uoga,
tafadhali maliza hiyo kitu bana 🐒
acha unyonye,
au kiwango cha ufaulu wa masters yako ni Borderline Pass au Pass🐒
ngumu kufanya connection na wenye masters wenzako hapo ofsini tena kuna wengine hawana hizo masterz?Ufaulu mzur kk sema conection ngum km unaweza nisaidia fanya jambo
Nenda DP World.Habar za jioni wana jukwaa,
Ninaomba msaada mimi ni muhitimu wa master ya elimu Usimamizi na Utawala.
Sasa tokea nimalize nimekua natafuta kuhama idara japo nisogee katika idara zingine mfani Necta TET TEA na kwingine ambapo nina endana na elimu yangu.
Kama kuna mwanajukwaa anaweza nisaidia kupata namna ya kuchimoka tuwasiliane
😂😂😂 daaahNenda DP World.
Wakala was DP World.Nenda DP World.
Mcheki pm muyajenge acha kuzubaaKwaio tunawasiliana lin kk
Wabongo kwa kukatish tamaa hamjambo yaaani kiwe kizur shida kiwe kibaya ndo kabis yaan mmhMasters sio mambo ya kukimbilia kama bado huna uzoefu wa kazi
Ukifanya kazi japo hata kwa miaka miwili utajua uchukue masters ya mrengo upi hasa badala ya kukurupukia....yaan utafanya masters ambayo utaifaidi kazin na sio ibakie kwenye makaratasiWabongo kwa kukatish tamaa hamjambo yaaani kiwe kizur shida kiwe kibaya ndo kabis yaan mmh
Nyie sio mungu bn ingekuwa hivi nazani hapa tz kungekuwa hakun wasomi wenye level za phd alaf wengi weny haya maoni ukifatilia ni diplom wana chuki san sijui why Yaani unakut mtu anakup option kibao zakutish utazani yeye ndo anagawa kaz ukirud kuona maish anayosem ana kazi bora hata ambae huna .... binadamu ukifany maamuz ya maish yako usifikilie mtu au watu maana watakupoteza hata huyo akifany masters atapat sehem atapt expirience na kaz zikitok zenye sifa yake ataomba atapat kuna na wengi masters kwenye makampuni wanapata nafac za kujitolea wanalipwa vizur tuUkifanya kazi japo hata kwa miaka miwili utajua uchukue masters ya mrengo upi hasa badala ya kukurupukia....yaan utafanya masters ambayo utaifaidi kazin na sio ibakie kwenye makaratasi
Kaza fuvu utachukua masters ambayo hautajaifanyia kaziNyie sio mungu bn ingekuwa hivi nazani hapa tz kungekuwa hakun wasomi wenye level za phd alaf wengi weny haya maoni ukifatilia ni diplom wana chuki san sijui why Yaani unakut mtu anakup option kibao zakutish utazani yeye ndo anagawa kaz ukirud kuona maish anayosem ana kazi bora hata ambae huna .... binadamu ukifany maamuz ya maish yako usifikilie mtu au watu maana watakupoteza hata huyo akifany masters atapat sehem atapt expirience na kaz zikitok zenye sifa yake ataomba atapat kuna na wengi masters kwenye makampuni wanapata nafac za kujitolea wanalipwa vizur tu