Nimehitimu Masters ya Usimamizi na Utawala, natafuta kazi

Nimehitimu Masters ya Usimamizi na Utawala, natafuta kazi

Kaza fuvu utachukua masters ambayo hautajaifanyia kazi
Wew ndio unakaza fuzu hustle zote duniani sio rahisi kuna watu kibao mtaani wamemaliz na hawana mchongo kuna wana wamameliz mpk phd na wana michongo mpk wanaikata wenyew nani phd holder mtaani hana ajira kwa tanzania hii mayb kama unasoma utawala ndo masters zake zipo nyingi na masters nyingi mtaani ni zile zenye kazi ila hiz kama artifficial inteligence , ... cyber .... computer science ni chache san kwanza gharam kubwa kuzisoma pili ni ngumu mno ila ukisem masters kama utawala uongozi hizo zimejaa sana mtaani
 
Habar za jioni wana jukwaa,

Ninaomba msaada mimi ni muhitimu wa master ya elimu Usimamizi na Utawala.

Sasa tokea nimalize nimekua natafuta kuhama idara japo nisogee katika idara zingine mfani Necta TET TEA na kwingine ambapo nina endana na elimu yangu.

Kama kuna mwanajukwaa anaweza nisaidia kupata namna ya kuchomoka tuwasiliane.
Kasimamie na kutawala familia yako.
Hukuona kazi ya kusafirisha watu na mizigo kwa pikipiki?
 
Nina jamaa yangu kabla hajapata ajira alikuwa anawaponda watu ambao walikuwa wanahamasisha vijana wajiajiri

Sasa hivi yee mwenyewe baada ya kula shavu ndani ya miaka mitano amekuwa mhamasishaji mzuli vijana kujiajiri
Masters alafu unalia lia na ajira! Kama imekupa maarifa jiajiri! Vinginevyo hata huyo atakayekuajiri hutakuwa na msaada kwake
 
Sijasoma sana ila namshukuru Mungu nina kibarua....nazidi kuwa mzito wa kufikiria kuongeza elimu kama mtu mwenye masters analalamika ajira
 
Back
Top Bottom