princeNathan
JF-Expert Member
- Apr 5, 2023
- 376
- 781
Wew ndio unakaza fuzu hustle zote duniani sio rahisi kuna watu kibao mtaani wamemaliz na hawana mchongo kuna wana wamameliz mpk phd na wana michongo mpk wanaikata wenyew nani phd holder mtaani hana ajira kwa tanzania hii mayb kama unasoma utawala ndo masters zake zipo nyingi na masters nyingi mtaani ni zile zenye kazi ila hiz kama artifficial inteligence , ... cyber .... computer science ni chache san kwanza gharam kubwa kuzisoma pili ni ngumu mno ila ukisem masters kama utawala uongozi hizo zimejaa sana mtaaniKaza fuvu utachukua masters ambayo hautajaifanyia kazi
Kasimamie na kutawala familia yako.Habar za jioni wana jukwaa,
Ninaomba msaada mimi ni muhitimu wa master ya elimu Usimamizi na Utawala.
Sasa tokea nimalize nimekua natafuta kuhama idara japo nisogee katika idara zingine mfani Necta TET TEA na kwingine ambapo nina endana na elimu yangu.
Kama kuna mwanajukwaa anaweza nisaidia kupata namna ya kuchomoka tuwasiliane.
Masters alafu unalia lia na ajira! Kama imekupa maarifa jiajiri! Vinginevyo hata huyo atakayekuajiri hutakuwa na msaada kwake
ni yule aliyepiga collabo na mc bandoMaharifa Ni nini?