Nimehukumiwa kunyongwa

Nimehukumiwa kunyongwa

Smart911
Akijinyonga huyo wana JF tutakusaka popote ulipo tutakunyonga na wewe na sema tutakunyongaa kwa usalama wako nenda muwahi mapema.

Usijali Dada yetu sisi ndo mawakili wako hapa.
Wala hutanyongwa.
 
Hakuna hukumu ya kunyongwa iliyofanyiwa kaz toka kipind cha mjomba
 
Nilipe hela zangu kabla hujajilipua please.
 
bora ukajipumzikiage mwayego...
maana nchi imekuwa ya mtafutano...
 
jinyonge tuu kabla hujanyongwa maana hamna namna sasa
 
Smart911
Akijinyonga huyo wana JF tutakusaka popote ulipo tutakunyonga na wewe na sema tutakunyongaa kwa usalama wako nenda muwahi mapema.

Usijali Dada yetu sisi ndo mawakili wako hapa.
Wala hutanyongwa.

Asante sana barikiwa mkuu
thanks for defending me kwakweli I did a mistake just a small one

Smart911 thanks for being an understanding man otherwise ningeshakufa leo nisingeamka

I don't know what to say Smart911 you're a man.. the real man.
 
Mbona asubuhi yote hii unatutisha na mtoa roho?
Ni nini hicho?
Tufafanulie basi umefanya nini?
 
Kwisha habari yake huyo

Big up Smart 911 ila mnyonge taratibu walau mda wa kuaga marehemu mwili uweze kuagwa asije kuharibika vibaya.

utaumbuka vibaya mkuu Wee jifanye kiherehere tyu

:Smart911
 
Back
Top Bottom