Nimehuzunishwa kama si kusikitishwa na Kauli za Mwigulu Nchemba kuelekea mechi ya Derby

Nimehuzunishwa kama si kusikitishwa na Kauli za Mwigulu Nchemba kuelekea mechi ya Derby

Nani asiyejua Mwigulu ni chura, nani asiejua PM ni koro.
Nje ya siasa na uongozi na wao ni mashabiki lialia kama wewe.
 
Ajiuzulu uwaziri akagombee urais wa TFF.
Kama siyo Mwigulu Yanga ingekuwa nafasi ya nne ligi kuu.

Yanga tangu ianzishwe labda nafasi ya 3 imekuwa kushika mara 1 tu, mwigulu alizaliwa siku moja na Yanga? Subrini kipondo kinakuja
 
Ajiuzulu uwaziri akagombee urais wa TFF.
Kama siyo Mwigulu Yanga ingekuwa nafasi ya nne ligi kuu.
Hebu tuwekee ile video Madilu anacheza wimbo wa Yanga Afrika wa Pepe Kalle hakika ni burudani kubwa mno. Huyu Waziri ni mtu mkweli kwa kuweka wazi his bias kwamba ni shabiki namba moja wa Yanga, sidhani kuna ubaya wowote, maana sote tuna upande tunashabikia kama si Yanga ni Simba, mwanangu ni Simba namimi namvalisha jezi za Yanga.
 
Back
Top Bottom