Hebu tuwekee ile video Madilu anacheza wimbo wa Yanga Afrika wa Pepe Kalle hakika ni burudani kubwa mno. Huyu Waziri ni mtu mkweli kwa kuweka wazi his bias kwamba ni shabiki namba moja wa Yanga, sidhani kuna ubaya wowote, maana sote tuna upande tunashabikia kama si Yanga ni Simba, mwanangu ni Simba namimi namvalisha jezi za Yanga.