Baba V umeniskitisha sana ,umenidhalilisha sana kumsonta mke wangu hii dhambi sijui utiepuka vipi.natoa tamko leo usitembelee mitaa yangu.Anaitwa Evelyn Salt , ndo dili zake hapa mjini. laiti kama ungefuata maelekezo yangu usingeibiwa
na bora umemwachia copy ili ajiandae kwa kifuatacho
Kwani uongo dogo...!? au hupendi niseme ukweli!!!??? inawezekana ni dili ya familia nini!??
Afu hatukumalizia lile zoezi letu kule jukwaa la chini kabisa ujue...!!!
sema ukweli,!!!!
afu haya mambo ya ndani ya familia unawajuaje wewe mwenyekiti?