ongea kiswahili sanifu, kiswaswadu ndo nini..
Mkuu tumia ukubwa wako kuelewaongea kiswahili sanifu, kiswaswadu ndo nini..
Huko mimi cmo naogopa kulogwaNgoja utapooza maumivu kwa Noah hewa za makinikia
Mkuu tumia ukubwa wako kuelewaHahahahahhhahahah, kiswaswadu ndo kinini hiko?
HahahahahKISWASWADU... Msichana aliye na mwili mdogo mdogo # TujadiliKiswahili ·
NishapoaUzi umetumia lugha ya kiswaswadu.
Hapa wengi utawaacha kiswaswadu tu.
Pole sana mkuu