Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,174
- 16,794
Kwa wenye experience. Kuna mpangaji amewekewa LUKU yake hana mwezi.
Asubuhi ya leo wanaweka umeme hauingii. Kuangalia Nje wanakutana na nyaya LUKU hazipo imenishangaza sana.
Nimemshauri aende TANESCO akatoe ripoti.
Ujinga ni aibu, ni fedheha. LUKU ndiyo nini, inaibiwajeKwa wenye experience. Kuna mpangaji amewekewa LUKU yake hana mwezi.
Asubuhi ya leo wanaweka umeme hauingii. Kuangalia Nje wanakutana na nyaya LUKU hazipo imenishangaza sana.
Nimemshauri aende TANESCO akatoe ripoti.
MBONA Wanasema Zina GPS Huwezi Kuihamisha Ukaiweka Sehemu Ambayo Hawajaiweka Tanesco. Ina Usajili Wa Majina Na Sehemu Inapokwenda KuwekwaHivi hizi luku hazina mfumo wa ufuatiliaji sababu zimesajiliwa kama laini za simu?
Bongo bahati mbaya
Meter Yeye Anasema LUKUUjinga ni aibu, ni fedheha. LUKU ndiyo nini, inaibiwaje
HeheheKwa wenye experience. Kuna mpangaji amewekewa LUKU yake hana mwezi.
Asubuhi ya leo wanaweka umeme hauingii. Kuangalia Nje wanakutana na nyaya LUKU hazipo imenishangaza sana.
Nimemshauri aende TANESCO akatoe ripoti.
Kama ni hivi mbona zinapotea na hazipatikaniMBONA Wanasema Zina GPS Huwezi Kuihamisha Ukaiweka Sehemu Ambayo Hawajaiweka Tanesco. Ina Usajili Wa Majina Na Sehemu Inapokwenda Kuwekwa
Wanataka ziwekwe nje kwa usalama wa wenye nyumba, hizi mita zinaweza kulipuka. Mm LUku ilisababisha moto jikoni 2005. Sikupata fidia yoyote. Sasa ushauri wao kuweka mita nje ni bora zaidi sana. Ripoti polisi ili uwekewe mita nyingine.Mkuu HATA mm niliwashauri WAWEKE NDAN wakshauri nje
Kwa kiswahili?LUKU=LIPIA UMEME KADRI UTUMIAVYO.
ππ
Sema meter box(pre paid meter box)