Nimeibiwa LUKU asubuhi hii, nianzie wapi?

Hapo aripoti Polisi na TANESCO, huu uwizi umeanza kurudi.
Kwa wenye experience. Kuna mpangaji amewekewa LUKU yake hana mwezi.

Asubuhi ya leo wanaweka umeme hauingii. Kuangalia Nje wanakutana na nyaya LUKU hazipo imenishangaza sana.

Nimemshauri aende TANESCO akatoe ripoti.
 
WANAIBAJE WAKATI USASILIUNASOMA KWA MTU MWENGINE.MBONAUNAWASHIKA KAMA IMEI NAMBA
 
Kwa wenye experience. Kuna mpangaji amewekewa LUKU yake hana mwezi.

Asubuhi ya leo wanaweka umeme hauingii. Kuangalia Nje wanakutana na nyaya LUKU hazipo imenishangaza sana.

Nimemshauri aende TANESCO akatoe ripoti.
Ujinga ni aibu, ni fedheha. LUKU ndiyo nini, inaibiwaje
 
LUKU=LIPIA UMEME KADRI UTUMIAVYO.
😀😀
Sema meter box(pre paid meter box)
 
Hivi hizi luku hazina mfumo wa ufuatiliaji sababu zimesajiliwa kama laini za simu?

Bongo bahati mbaya
MBONA Wanasema Zina GPS Huwezi Kuihamisha Ukaiweka Sehemu Ambayo Hawajaiweka Tanesco. Ina Usajili Wa Majina Na Sehemu Inapokwenda Kuwekwa
 
Kwa wenye experience. Kuna mpangaji amewekewa LUKU yake hana mwezi.

Asubuhi ya leo wanaweka umeme hauingii. Kuangalia Nje wanakutana na nyaya LUKU hazipo imenishangaza sana.

Nimemshauri aende TANESCO akatoe ripoti.
Hehehe
 
MBONA Wanasema Zina GPS Huwezi Kuihamisha Ukaiweka Sehemu Ambayo Hawajaiweka Tanesco. Ina Usajili Wa Majina Na Sehemu Inapokwenda Kuwekwa
Kama ni hivi mbona zinapotea na hazipatikani
 
Mkuu HATA mm niliwashauri WAWEKE NDAN wakshauri nje
Wanataka ziwekwe nje kwa usalama wa wenye nyumba, hizi mita zinaweza kulipuka. Mm LUku ilisababisha moto jikoni 2005. Sikupata fidia yoyote. Sasa ushauri wao kuweka mita nje ni bora zaidi sana. Ripoti polisi ili uwekewe mita nyingine.
 
Back
Top Bottom