Nimeibiwa na kisha nikapigwa na madada poa

Tajiri wa kusini

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2022
Posts
1,079
Reaction score
2,947
Aisee sijui niseme ya kwamba Nina nuksi au sijui nisemaje sijui siku kadhaa baada ya kunusurika kuabika baada ya kutembea na mke watu nikasema poa haina shida nikasusa kutotembea na mke wake mtu nikasema majeshi yangu nayapeleka kwa madada poa nako huko ni shida.

Juzi nilienda kwenye danguro moja hapa jijini mzizima kwa lengo la kutafuta dada poa wa kumaliza hamu zangu basi bwana nikamtongoza au nikamkamata dada mmoja mweupe, nikaingia nae chumba chake bwana, nikavua nguo, nikaenda suruali yangu mlangoni na kwenye suruali yangu kulikuwa na pesa kadhaa nyingi kidogo.

Aisee kumbe chini ya kitanda cha yule manzi kulikuwa na demu mmoja hivi yeye kazi yake ni kuwaibia wanaume tu wakifika kwenye chumba ya huyo dada bwana akachukua suruali pesa zangu zote na simu 4 basi mwana akaiba mimi nimejizuhuka na utamu wa dada poa huku.

Baada ya kumaliza shoo nikachukua suruali yangu ili nimlipe yule dada, aisee kucheki kwenye suruali empty hamna kitu. Aisee sio poa demu akahisi sitaki kumlipa hela, nikasema nyie ndiyo mtakuwa mmechukua.

Aisee yule demu akawaita wenzanke aisee nilichapika, nilipigwa balaa sina hamu duuuh. Bahati mzuri nikapata mpenyo nikachoropoka huku niko na boxer tu uzuri wake pembeni kuna gesti ya karibu nikaingia humo mbio ndipo kuna wasamaria wenu wakaja kunipa nguo, duuh wakuu sio poa nipo naugulia maumivu hapa.
 
Umepigwa Na Hawa, au wengine [emoji848]
JamiiForums695409134.jpg
 
hata usiuzunie kwa kuw umechagua kuishi
maisha hayo....
 
Hivi mwanaume anabebaje simu 4. Yaani akiwa kwenye matembezi yake anaziwekaje?
Nimepata picha..... mbili mifuko ya nyuma ya suruali, nyingine mbili mifuko ya mbele...
Lazma uibiwe tu smart phone mbili tu kubeba ishu ka wa kiume
 
Back
Top Bottom