Nimeibiwa Ng'ombe 10 Kisiju

Nimeibiwa Ng'ombe 10 Kisiju

Wakuu, usiku wa kuamkia Leo, nimeibiwa Ng'ombe 10 kwenye shamba langu hapa Kisiju. Wameacha ndama 2. Waswahili wameona naenda kupiga hela Krismasi wakaona waniwahi. Asee epuka kukaa na waswahili km.kibuyu
Pole sana hakukuwa hata na mlinzi?
 
Wakuu, usiku wa kuamkia Leo, nimeibiwa Ng'ombe 10 kwenye shamba langu hapa Kisiju. Wameacha ndama 2. Waswahili wameona naenda kupiga hela Krismasi wakaona waniwahi. Asee epuka kukaa na waswahili km.kibuyu
Munaishi kizamani tuko ktk technogiya una ngombe kumi unashindwa kuwa na systerm ya kuwatrack ngombe wako wanakuwa na GPS Maalumu utawapata hata kama wameuzwa Kenya .Wacheni ushamba milioni ngapi umezikosa hapo .
 
Asante chief
 
Back
Top Bottom