Afadhali na ww useme...yani jamaa anajitoa ufahamu kuwa hamna mitapeli humu JF? Au zuga?..kila siku watu wana bandiko zao humu jinsi walivyotapeliwa!mkuu m nmepigwa humhum jf, na nikatoa taarifa ila sikusaidiwa, jamaa alisema anaweza kuunganisha dish za kawaida nikapata za mpira, mwanaume nikamlipa asee kanipiga mpaka leo biashara ya mtandao sifanyi, hum jf wapo wengi,
Mi mwenyewe na shangaa Mac book laki mbili ya wapi hata ya kichina sio laki mbili
Ebu Mpe Ulogi hata usiku aamke Dushe lake halipo.Na kila siku whatsap namuona Online huyu jamaa text anasoma lakini hajibu! na kila siku anapost vitu kupatana
Funguka vizuri na wengine tupate somo,ina maana ulimpa hela hakuja kukufungia dish,au dish alifunga chanel za mpira baada ya muda zikakata?mkuu m nmepigwa humhum jf, na nikatoa taarifa ila sikusaidiwa, jamaa alisema anaweza kuunganisha dish za kawaida nikapata za mpira, mwanaume nikamlipa asee kanipiga mpaka leo biashara ya mtandao sifanyi, hum jf wapo wengi,
hakuja kabisa, ila kabla ya hapo alikuwa anawasiliana nami, baada ya kumtumia pesa akazima na sim na skumpta,Funguka vizuri na wengine tupate somo,ina maana ulimpa hela hakuja kukufungia dish,au dish alifunga chanel za mpira baada ya muda zikakata?
Afadhali na ww useme...yani jamaa anajitoa ufahamu kuwa hamna mitapeli humu JF? Au zuga?..kila siku watu wana bandiko zao humu jinsi walivyotapeliwa!
Ninaanza kukufahamu ww kiumbe......yani nimekujua through this mwandiko! BTW rudi nyuma ya hii page nimeshakujibu!Sio suala la kujitoa ufahamu. Ni suala la kutojua tu na kudhania kwa sababu JF ni mtandao tofauti na hiyo mitandao mingine tunayoitumia. Wengi tumejiunga JF kutokana na watu wenyewe walioko JF na uongozi unavyofanya kazi zake kwa umakini. Hayo mabandiko ya watu kutapeliwa humu kila siku mimi siyaoni yakitolewa zaidi nimeyaona miaka miwili au mitatu iliyopita. Mimi nipo JF tangu 2013; nimeupenda huu mtandao kwa jinsi watu wanavyoishi kwa kushirikiana, kuaminiana na kusaidiana kwa upendo kama ndugu. Kwa hiyo kama bado tunaendelea kuishi na matapeli na unawafahamu toa taarifa kwa uongozi sio kulalamika tu, ukitoa taarifa utakuwa umewasaidia wengine wasiingie kwenye mtego wa kutapeliwa...ukitoa taarifa tapeli atashughulikiwa hata akitumia ID nyingine atafahamika tu!
Ninaanza kukufahamu ww kiumbe......yani nimekujua through this mwandiko! BTW rudi nyuma ya hii page nimeshakujibu!
Hmm humu JF sifikiri kama kuna hao majizi na matapeli kama wapo itakuwa utapeli wao wanafanya kwenye mitandao mingine sio humu kwa uongozi wa JF upo makini hauwezi kuruhusu vitendo vya uhalifu vifanyike humu. Kama umetapeliwa na wanachama wa humu na unawafahamu kwa majina ni busara ukatoa taarifa kwa uongozi ukawachulia hatua mapema wasiharibu sifa ya mtandao wetu pendwa.
Duuh! Unatafuta maadabu humu? kisa mtu kwenda against na wewe!...topic closed!Andika kwa adabu, mimi sipo hapa kwa lengo la kubishana. nipo hapa kwa lengo la kuelemishana. Sasa ukianza kuandika kwa lugha ambazo sio nzuri hatutofika mbali.
Duuh! Unatafuta maadabu humu? kisa mtu kwenda against na wewe!...topic closed!
Sio suala la kujitoa ufahamu. Ni suala la kutojua tu na kudhania kwa sababu JF ni mtandao tofauti na hiyo mitandao mingine tunayoitumia. Wengi tumejiunga JF kutokana na watu wenyewe walioko JF na uongozi unavyofanya kazi zake kwa umakini. Hayo mabandiko ya watu kutapeliwa humu kila siku mimi siyaoni yakitolewa zaidi nimeyaona miaka miwili au mitatu iliyopita. Mimi nipo JF tangu 2013; nimeupenda huu mtandao kwa jinsi watu wanavyoishi kwa kushirikiana, kuaminiana na kusaidiana kwa upendo kama ndugu. Kwa hiyo kama bado tunaendelea kuishi na matapeli na unawafahamu toa taarifa kwa uongozi sio kulalamika tu, ukitoa taarifa utakuwa umewasaidia wengine wasiingie kwenye mtego wa kutapeliwa...ukitoa taarifa tapeli atashughulikiwa hata akitumia ID nyingine atafahamika tu!
Ni vizuri kushare "utaratibu" wa kutoa taarifa kwa UONGOZI wa JF kwa ufahamu wangu JF ina members wengi wenye hulka na interest tofauti. bahati mbaya sana hakuna utaratibu wa kufanya vetting kwa wana JF. Kwa hiyo si vema sana kudhani JF is a home of saints. Binafsi ndani ya mwaka huu pekee nimesoma nyuzi kibao zenye "harufu" ya utapeli. in most cases mtu anapojieleza kuhusu utapeli ni vema kumshauri na kuwa alert other members.
GOD BLESS JF A HOME of great THINKERS.....
Mimi binafsi JF is just a stress remover forum sijapata bahati ya kupata mtu wa kushirikiana, kuaminiana na kusaidiana kwa upendo kama ndugu. Kabla sijajiunga nilikuwa napitia JF by then it was a source of reliable information, people were discussing, analyzing and reporting critical issues. It is very sad now days people discuss more on people rather than issues... unachokiongea mkuu is more theoretical than what we actually experiencing in JF at least for now.
Mkuu, endelea tu kutumia hii forum, watu wa kushirikiana, kuaminiana na kusaidiana kama ndugu wapo, inategemea jinsi wewe unavyoishi katika hii forum na jinsi unavyojinganya na watu.
teh teh maqcbook mkuu,...yan nmecheka had basWe jamaa vp
Macbook laki 2.5 ukakubali 😀😀
Uliyataka mwenyewe
Ndo wewe nini unaeliza watu!! Acha Jamaa amtoe kitumbo akome ili na wengine watie adabuSidhani kama ni busara kuchukua uamuzi wa kufanya mambo ya kishirikina. Nini ushirikina? Haya mambo ya kutapeliwa/kuibiwa ni mambo ya kawaida yanatokea sana katika maisha. Siku zote tunajifunza kutokana na makosa, tunamuachia Mungu na maisha yanaendelea. Huyo jamaa kumkamata ni rahisi sana, wala haina haja ya kwenda kwa waganga wa kienyeji kupoteza pesa.
Ndo wewe nini unaeliza watu!! Acha Jamaa amtoe kitumbo akome ili na wengine watie adabu