Nimeibiwa pesa zangu milioni 5 asubuhi hii Stendi ya Singida

Nimeibiwa pesa zangu milioni 5 asubuhi hii Stendi ya Singida

Rosemin

Member
Joined
May 21, 2023
Posts
70
Reaction score
532
Hii ni mara ya pili naibiwa pesa kwenye stendi hii ya singida mara ya kwanza niliibiwa laki tatu stendi hii ya singida aisee sasa naona watu wa singida mmenizoea sana aisee na mniibia kwa style ile ile tu sijui nyie watu niwafanyia nini aisee

Kuna siku mmwamenivunjia kioo cha gari langu crown athlete na mkatokomea na pesa zangu laki tatu na leo mmeniibia milioni 5 sasa enough is enough.
 
e48cf8504295a355cb61b0993a65f09a.gif
 
Back
Top Bottom