Mtu alieibiwa hawezi kuandika ivoooo
Kwanza hiyo mood unaipata WAPI? Maybe angeibiwa Leo then aka andika thread two weeks ahead anaweza eleweka....lakini hii ni chaiMtu alieibiwa hawezi kuandika ivoooo
Mkuu,wewe ndio umemuelewa mleta mada vizuri sana,na umeelewa lengo la uzi wake.Mi nimeibiwa million 10 niliyoweka kwenye gari yangu Mercedes-Benz S class
Hapo unatuambia hela uliyoibiwa au gari unayomiliki.Mi nimeibiwa million 10 niliyoweka kwenye gari yangu Mercedes-Benz S class