Nimeibiwa Simu Nashindwa Kurenew Simcard Niliosajiliwa na Mtu Ambae Sasa Hayupo, Msaada

Nimeibiwa Simu Nashindwa Kurenew Simcard Niliosajiliwa na Mtu Ambae Sasa Hayupo, Msaada

PMWAKA

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2019
Posts
226
Reaction score
244
Wakuu nimeibiwa simu na ina simcard ina savings zangu zote, sasa nashindwa kurenew simcard sababu alienisajilia nimetafuta bila mafanikio, naomba msaada kwa mnaofahamu hizi mambo.

Kwenye makampuni ya simu naweza kisaidiwaje? nisaidieni mawazo please nahisi kuchanganyikiwa.
 
Wakuu nimeibiwa simu na ina simcard ina savings zangu zote, sasa nashindwa kurenew simcard sababu alienisajilia nimetafuta bila mafanikio, naomba msaada kwa mnaofahamu hizi mambo.kwenye makampuni ya simu naweza kisaidiwaje? nisaidieni mawazo please nahisi kuchanganyikiwa.

Nenda kwenye duka la mtandao husika wa sim card unayotumia, omba kuongea na meneja mueleze ukweli wa kilichotokea.
Meneja atampigia muhusika wa hiyo laini kama anakutambua na anaitambua hiyo namba, kama ndivyo itafungwa na kusajiliwa kwa NIDA yako au huyo muhusika atakusaidia ku renew hiyo laini ila hiyo inawezekana kama tu muhusika anatumia huo mtandao na namba zake nyingine zitakuwepo kupikia namba ya NIDA. Ila jiongeze hapo maana mkono mtupu haulambwi
 
Pole mkuu fata ushauri wa kumuona meneja wa mtandao husika
 
Uzembe aisee uzembe mkubwa.....Mzee wangu angekutia hata bakora aloo .....

Pole.
 
Back
Top Bottom