InashangazaYaani mpaka sasa unasajiliwa laini na mtu mwingine 😳😳
Atakuwa mkimbizi huyuInashangaza
Wakuu nimeibiwa simu na ina simcard ina savings zangu zote, sasa nashindwa kurenew simcard sababu alienisajilia nimetafuta bila mafanikio, naomba msaada kwa mnaofahamu hizi mambo.kwenye makampuni ya simu naweza kisaidiwaje? nisaidieni mawazo please nahisi kuchanganyikiwa.
InasikitishaAtakuwa mkimbizi huyu
Utakuta hana kitambulisho chochote huyuYaani mpaka sasa unasajiliwa laini na mtu mwingine 😳😳