Nimeibiwa vitu vyangu Uwanja wa Julias Kambarage Terminal 3

Nimeibiwa vitu vyangu Uwanja wa Julias Kambarage Terminal 3

Unadhani lock inazuia wezi? Sijui huwa wanafanyaje lakini nishaibiwa wakati sanduku lilikuwa na lock. Ni Johanesburg lakini. Lock, pengine iwe ni ziwe lock complicated na sanduku liwe zuri ki-uimara.

Masanduku yenye zip ni changanoto hata ukilock,wanatumia kalamu kuingiza kwenye zipu inaachana wanaiba na kufunga na wala hutajua,niilibiwa nami perfume na camera kwa mtindo huu
 
Nimetumia huu uwanja Tar 28.03.2024 nikienda Qatar. Nafika Qatar mashine yangu ya Pressure na perfume havimo kwenye bag ambalo nili check in. Aibu sana kwa Kweli.
Naamini ni ile KUKOMAA KWAMBA YULE NA HUYU NI WAMOJA,wakati yule tunamuangalia Kwa picha mbovu sana,halafu kutaka kuwajibujibu "WAZEE",Wazee ni dawa,huwezi kushindananao!.
 
Back
Top Bottom