Nimeibua bibie kwenye Chitchat White Party

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,914
Reaction score
168,320
Party ikiwa inaendelea, vinywaji na maongezi yakikolea huku yakisindikizwa na muziki mwanana, ndipo hapo nikapata fursa bin wasaa wa kumsogelea bibie mmoja.
Maongezi ya hapa na pale yakatufanya tukaribiane zaidi na zaidi, ukaribu ukaongezeka hadi ukatuingia damuni. Nikajikuta napewa denda.

Muda wa kuagana ukafika, nikaondoka na mrembo kimya kimya bila kuaga mtu, tukaenda kuserebuka huku nikiimba wimbo wa Kingoni, NINAPOTAKA MIMI NI HAPO TU,NINAPOTAKA MIMI NI HAPO TU........... Eh mama cheketula cheketu.......
Tukachagua nyumba moja ya wageni kwenda kufanya matusi matamu yenye raha.
Kati kati ya huba bibie akapandisha mizuka ya marehemu Sharo milionea.
Mara alie Ohhh Mama, mara aniambie Umebugi meeeeeeen.... Hadi tunamaliza shughuli nikasema nimekoma mie na wadada wa Chit Chat, vituko gani vyote hivyo vya marehemu?
Sirudii tena kukamata bibie wa Chitchat
 

Ulitakiwa kumpeleka kwa Asprin akakaguliwe kwanza....
 
Last edited by a moderator:
I wish i could see men and women in white...
 

Mhh,
Napita tu.
 
Asprin Babu yangu mpendwa jana alikuwa geji ile mbaya hata kipimo chake kikalegalega kama uongozi wa Tenga TFF. Kwakweli bibie ningempeleka kwa Dr. Asprin jamani
 
Last edited by a moderator:

Khaaa!!! Bujibuji yanakuwa hayo tena..nadhani white party imekuondolea uchungaji rasmi.. Naomba nitangaze rasmi tu kuwa mimi sasa ndo mama mchungaji senior pastor wa chitchat.. wewe tutakutenga kundini kwa muda mpka utubu.
coppy watu8
 
Last edited by a moderator:
Madame B yaani mwenzako naumwa, eti nikikaa hivi naona ngongingo orijinal, nikigeuka nasikia sauti za mizimu zikiniambia hebu nichimu nikiss mwaaaaaah.... Yaaani najuuuuuuta kukuacha Ben Pub

Chimbuvu alikuja kunifata.
 
Last edited by a moderator:
Mhmhmmm... nimekustua kumbe we ndo uliondoka na yule kimwana lool!!!

We mbayaaaaaaa!!!!!!
 
Hahaha Bujibuji pole sana ni ndoto tu hiyo
 
Last edited by a moderator:
Vin Diesel, upo mwana? Jana nikawa napiga miluzi husikiii, mimi ndo nlikuwa Dj kwenye Turn Table

Nipo jamaa yangu.....jana pale ulipotuacha palipendeza vibaya sana...pole kwa mkasa ulokukumba..
 
Last edited by a moderator:
Khaaa!!! Bujibuji yanakuwa hayo tena..nadhani white party imekuondolea uchungaji rasmi.. Naomba nitangaze rasmi tu kuwa mimi sasa ndo mama mchungaji senior pastor wa chitchat.. wewe tutakutenga kundini kwa muda mpka utubu.
coppy watu8

Zion Daughter, usitake nikutaje kwa jina kuwa wewe ndiye nabii yule ajaye kwa jina la Bwana
 
Last edited by a moderator:
watu8 alikuwa anapiga tu miluzi, sijui ni mganga wa kienyeji? Sijui ni refa aliyepiteza kipyenga au ni karumanzira?
 
Last edited by a moderator:
Bujibuji anahitaji sala ya toba...

Khaaa!!! Bujibuji yanakuwa hayo tena..nadhani white party imekuondolea uchungaji rasmi.. Naomba nitangaze rasmi tu kuwa mimi sasa ndo mama mchungaji senior pastor wa chitchat.. wewe tutakutenga kundini kwa muda mpka utubu.
coppy watu8
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…