Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
- Thread starter
-
- #21
Nipo jamaa yangu.....jana pale ulipotuacha palipendeza vibaya sana...pole kwa mkasa ulokukumba..
Zion Daughter, usitake nikutaje kwa jina kuwa wewe ndiye nabii yule ajaye kwa jina la Bwana
Vin Diesel u r so special, nimenusurika mkuu
ahahaha...mimi sikubali..inabidi uachie ngazi kwenye chitchat praise mpka uongozwa sala ya toba
Nilikinunua ughaibuni as a gift, ninavyo vingi tu ntakuazima, hbu njoo PM
Party ikiwa inaendelea, vinywaji na maongezi yakikolea huku yakisindikizwa na muziki mwanana, ndipo hapo nikapata fursa bin wasaa wa kumsogelea bibie mmoja.
Maongezi ya hapa na pale yakatufanya tukaribiane zaidi na zaidi, ukaribu ukaongezeka hadi ukatuingia damuni. Nikajikuta napewa denda.
Muda wa kuagana ukafika, nikaondoka na mrembo kimya kimya bila kuaga mtu, tukaenda kuserebuka huku nikiimba wimbo wa Kingoni, NINAPOTAKA MIMI NI HAPO TU,NINAPOTAKA MIMI NI HAPO TU........... Eh mama cheketula cheketu.......
Tukachagua nyumba moja ya wageni kwenda kufanya matusi matamu yenye raha.
Kati kati ya huba bibie akapandisha mizuka ya marehemu Sharo milionea.
Mara alie Ohhh Mama, mara aniambie Umebugi meeeeeeen.... Hadi tunamaliza shughuli nikasema nimekoma mie na wadada wa Chit Chat, vituko gani vyote hivyo vya marehemu?
Sirudii tena kukamata bibie wa Chitchat

Hivi nikisema baadhi ya wanawake chitchat ni maharage ya mbeya nitakuwa nimekosea?
Zion Daughter ntakutenga na usharika mtakatifu. Hebu kaa kimya kuinusuru nafsi na sura yako
Party ikiwa inaendelea, vinywaji na maongezi yakikolea huku yakisindikizwa na muziki mwanana, ndipo hapo nikapata fursa bin wasaa wa kumsogelea bibie mmoja.
Maongezi ya hapa na pale yakatufanya tukaribiane zaidi na zaidi, ukaribu ukaongezeka hadi ukatuingia damuni. Nikajikuta napewa denda.
Muda wa kuagana ukafika, nikaondoka na mrembo kimya kimya bila kuaga mtu, tukaenda kuserebuka huku nikiimba wimbo wa Kingoni, NINAPOTAKA MIMI NI HAPO TU,NINAPOTAKA MIMI NI HAPO TU........... Eh mama cheketula cheketu.......
Tukachagua nyumba moja ya wageni kwenda kufanya matusi matamu yenye raha.
Kati kati ya huba bibie akapandisha mizuka ya marehemu Sharo milionea.
Mara alie Ohhh Mama, mara aniambie Umebugi meeeeeeen.... Hadi tunamaliza shughuli nikasema nimekoma mie na wadada wa Chit Chat, vituko gani vyote hivyo vya marehemu?
Sirudii tena kukamata bibie wa Chitchat
Hongera mkuu,hakika mwenye kisu kikali ndo anakula nyama.
wewe kilikuwa butu nini ungekuwa mjanja kama bujibuji..