figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Vin Diesel u r so special, nimenusurika mkuu
Mhh,
Napita tu.
Bujibuji ndoto zingine bana. . . . .!
mkuu anayo yasema inaweza ikawa kweli sababu jana ilikua si mchezo. mimi jana nilikua na gundu. kila ninaye mtongoza ananichomolea hadi nikahisi nina mkosi. mimi tu ndo nlikosa lakini wakina Bujibuji, KakaKiiza, watu8, Jiwe Linaloishi waliondoka na mizigo haswa!. 😛oa: mia
madam, heshima yako. mia
mi naona tupange nyingine ya kufunga mwaka. miaNatamani sana ningetokelezea pande hizo.... figganigga ila we Bujibuji bado hata sijapata la kukwambia... Ill be back
Umebugg menmkuu anayo yasema inaweza ikawa kweli sababu jana ilikua si mchezo. mimi jana nilikua na gundu. kila ninaye mtongoza ananichomolea hadi nikahisi nina mkosi. mimi tu ndo nlikosa lakini wakina Bujibuji, KakaKiiza, watu8, Jiwe Linaloishi waliondoka na mizigo haswa!. 😛oa: mia
mi naona tupange nyingine ya kufunga mwaka. mia
usimsingizie Asprin. alikuwa full mitungi. miafigganigga mimi nimeondoka peke kunguru mwoga uhepusha bawa lake shahidi yangu Asprin
Ushaanza..
Hayakuhusu..sosi Mwanamalundi
teh teh teh.teh.teh.teh teh I wish ningakuwapo name nikatoa ushamba...