ukome kuvamia ovyo mshuukuru Mungu amekuweka salama wewe umezidi hiyo dhambi yaani mtu humfahamu tayari umeshaingia naye na bado ukiendelea kaka yangu utakufa acha tabia hiyo haimpendezi Mungu, wewe si ulisema kuwa tuanzishe praise na worship humu mmu sasa imekuwaje leo umekwenda kwenye party unaanza kufanya yasiyofaa tamaa mbele mauti nyuma yaja. Mshukuru Mungu wako leo upo kaka sijui tungeliaje sisi huku ndo mana mm sikuataka kuja huko kwa hayo mabalaaa yenu Bujibuji