Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣 Is a mater of time kiongozi... utakatiwa uno mwenyewe utaropoka kuwa unalipa vicoba.. TusubiriHaiwezi kuwa mkuu
Nipo kiwandani hapa mkuu naendelea na kazi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]looohTumefanana visa, mie mwenzio kwa 3k tu ya VICOBA, ni mwezi wa tatu unaelekea sasa bado najipigia tu tena kavu. Mtoto tako tako!! Aiseee...
Na ni lazim wawe hivyo ili wajanja tupone.Tatzo wanawake sku hiz wamejirahisi mnooo, hata ukimpa peps ya jero atataka alale nawee yan sjui tatzo n nn lkn weng wao ndvyo walivyo.
N swala la kawaida hilo hata liskushtue.....
Peleka kwa familia yako huo ushauri wako. Mtu mzima anadhalilishwaje hapo? Alifungwa kamba? Alishikiwa bunduki? Itoshe kusema[emoji116]Huwezi kuaaidia mpaka umlale? Fikiria Kwa ndugu zako wa kike pia hali ni ngumu kama unasaidia saidia tu bila kidharirisha wadada wa watu.
Zipuyako mbovu[emoji41][emoji41]Kwa nini mkuu
Mh! Niwatakie kupona kwemaNa ni lazim wawe hivyo ili wajanja tupone.
Aisee umeongea point Sana msaada ni kitu Cha kawaidasanaHuwezi kuaaidia mpaka umlale? Fikiria Kwa ndugu zako wa kike pia hali ni ngumu kama unasaidia saidia tu bila kidharirisha wadada wa watu.