Nimeichakata Asubuhi hii kisa buku tano ya kwenye vicoba

Huwezi kuaaidia mpaka umlale? Fikiria Kwa ndugu zako wa kike pia hali ni ngumu kama unasaidia saidia tu bila kidharirisha wadada wa watu.
Kumlala mwanamke ni kumdhalilisha mkuu? Thibisha.

Kuhusu ndugu kwangu kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake,
Kama ataachia chupi ni juu yake yeye na uchi wake mi hauniusu
 
Kaka Hela kasema anarudisha lini? Maana sioni dalili ya kurejesha
 
Ahahahahah,,, we zero iq unamadhari mwanangu zakuchakata kimasiara papuchi duh noma sana, afu mwanangu unitumie location next week ntakuwa Dom hapo japo nije nijipatie viazi kwenye kiwanda chako apo mana naweza na mm nkajiopoleamo kapisi kamoja nikaenda kura kimasiara na mm
 
VICOBA,CHIPS,SIMU,LAPTOPS,SERIES NA MOVIES(WARUSHAJI),kwakweli
 
Vicoba,chips,muvi na sirizi,simu janja,bando,kwakweli ni janga kwa maadili ya wadada.
 
Kanikopa mkuu lazima irudi
Sio kwamba umelipia ule 'uchakataji'? Halafu ukute wewe ni wa pili au zaidi 'kuchakata' ili kufikia marejesho ya mwezi huo. Na ujiandae kuchangia marejesho kila mwezi na miezi mingine bila 'uchakataji'!
 
Sio kwamba umelipia ule 'uchakataji'? Halafu ukute wewe ni wa pili au zaidi 'kuchakata' ili kufikia marejesho ya mwezi huo. Na ujiandae kuchangia marejesho kila mwezi na miezi mingine bila 'uchakataji'!
Lazima anirudishie hilo ni deni mkuu
 
Nikiwa dodoma bila kuja kwenye hiko kiwanda ntahisi kama sijatembea dodoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…