Nimeichakata Asubuhi hii kisa buku tano ya kwenye vicoba

Kwa maana nina ratiba za kwenda mjini kuchukua viazi, nyama na tray za mayai "kwa ajiri ya pale kiwandani kwangu"
Mkuu si useme wewe ni muuza chips😂😂

Afu ukifika muda wa kuanza kula ARVs pia uje utupe mrejesho mkuu.
 
Mkuu si useme wewe ni muuza chips[emoji23][emoji23]

Afu ukifika muda wa kuanza kula ARVs pia uje utupe mrejesho mkuu.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Ndio mimi muuza chipsi zinazotoka kwenye kiwanda ninachomiliki cha uchakataji wa viazi kuwa chipsi zege, au kavu, au chipsi jicho
 

Ulimpima kwa macho eeh???? manake sjaskia kuhusu ndom hapo,HAYA KAKA HONGERA SANA
 
Wake zetu wanaliwa mida ambayo hata huwezi ifikiria yaani ndani ya dk 20 tu watu wamemaliza kipindi mkeo anarudi nyumbani kwako hata huwezi situkia unajua alienda dukani au yupo nje anafanya usafi. Siku hizi wanawake kuvua chupi ni kama vile kusalimiana tu
 
Ukweli unaouma, tena bila kondomu. Ngoma au kusakiziwa mimba dakika sifuri tu.
 
Kwa kanuni na sheria elfu 5 hairudi na kwa uzoefu huo ndo mchezo wake kwa wengine ndo maana alikupa bila shida kwa kuwa ametumia uchumi wake vizuri na ujiandae kulipa mpaka mkopo uishe na ukiweweseka anapewa mwingine.Ila usisahau tupo nae kliniki fulani.Ila usidanganyike huwa haikomolewi
 
Nenda kapime kabisa, maana umejizolea wadudu tayari.
 
Una kiwanda cha chips siyo?
 
Sio kwangu mkuu
 
Waoaji msiwe na wivu
 
Kumbe stori zako za siku zote huwa unachakata pisi mbovu mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…