African Geek
JF-Expert Member
- Jul 29, 2022
- 817
- 1,470
Nimefanikiwa kuibadilisha website yangu kuwa Mobile App inayofanya kazi kwenye Android & ios devices. Nimetumia Flutter kulifanikisha hili.
Hii ni project niliyofanya mwanzo wa mwaka huu kwa kutumia framework ya next.js. 👇
🔗 Home 👈 👈 👈 👈 WEBSITE
Na hii ndio App yake niliyoitengeneza kwa Flutter. Inafanya kazi kwenye android na ios ila hapa nitakuwekea apk file kwa ajili ya android ambayo unaweza ukadownload na kuinstall kwenye simu yako. 👇
DOWNLOAD THE APP 👇 👇
📁
NASUBIRI MAONI YENU