Nimeigeuza Website yangu kuwa Application

African Geek

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2022
Posts
817
Reaction score
1,470
Nimefanikiwa kuibadilisha website yangu kuwa Mobile App inayofanya kazi kwenye Android & ios devices. Nimetumia Flutter kulifanikisha hili.

Hii ni project niliyofanya mwanzo wa mwaka huu kwa kutumia framework ya next.js. πŸ‘‡

πŸ”— Home πŸ‘ˆ πŸ‘ˆ πŸ‘ˆ πŸ‘ˆ WEBSITE

Na hii ndio App yake niliyoitengeneza kwa Flutter. Inafanya kazi kwenye android na ios ila hapa nitakuwekea apk file kwa ajili ya android ambayo unaweza ukadownload na kuinstall kwenye simu yako. πŸ‘‡



DOWNLOAD THE APP πŸ‘‡ πŸ‘‡
πŸ“


NASUBIRI MAONI YENU
 
Iko wapi hiyo App mbona unaandika na kama unatulazimisha tui_download ndipo tuione?.
 
Nyie mnawezaje haya mambo?
Dadeq kila siku nainstall Android studio tena latest version na matutorial ya kutosha ila naishia kuyaangalia tu
Wekeza muda mwingi kwenye kupractice unachokiangalia pia tengeneza consistency
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…