Nimeijaribu hii series kumbe ni ya kipuuzi hivi, watu wameipendea nini?

Nimeijaribu hii series kumbe ni ya kipuuzi hivi, watu wameipendea nini?

Mkuu na wewe umeamini eti Money Heist imeizidi Breaking Bad? Haya ni matusi
Niliheshimu zile rating za IMDB ulizoweka, japo sikubalianagi nazo kwa 100% ila hizi rotten tomato ni rotten kweli
Ndio maoni ya watu wengi kama vile wewe unavyotoa maoni yako kwamba hujaielewa Money Heist kama inavyokuwa hyped na watazamaji wengi.
 
Hahaa, Money Heist imeizidi Breaking Bad? Sijawahi kuona rating mbovu kama hizo za Rotten Tomatoes
Sasa mbona haijawahi hata kuwa nominated kwenye tuzo za Emmy?
Nahisi sababu bado ipo kwenye ongoing so wakifunga kitabu tutajua kipinikipi
 
Mkuu the bold and the beautiful umenikumbusha mbali enzi za ITV.
The long wait ilikuwa moto pia.
The Gardners daughter bila shaka ulitzama pia

Sent using Linux 10.29
Jamani The Gardener's daughter was my fave
Nitaanza kuimba nyimbo hapa
 
Back
Top Bottom