Nimeijua siri na njia rahisi ya kua na hela hapa Tanzania

Nimeijua siri na njia rahisi ya kua na hela hapa Tanzania

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
978
Reaction score
2,313
Nimekua nikiwaza sana hali ya kiuchumi, sasa nimeijua siri ya kuapata hela kirahisi kwa mazingira ya TZ

1. Kufanya biashara/kazi na serikali, ujenzi wa majengo, kusambaza vifaa, vyakula nk. Malipo yao ni kufuru sana ila uwe tayari kula na wenye mamlaka

2. Kua na mamlaka serikalini, unaweza usifanye kazi na serikali moja kwa moja ila ukatumia mamlaka yako. hapa ndo unakuta gari ya biashara inakamatwa, inapigwa simu moja inaachiwa,wenzangu na mimi ikikamatwa ndo basi hapo lazina zikutoke.

3. Kua "okay" Na serikali, unaweza usifanye kazi na serikali au kua na mamlaka, lakini ukiwa unasapoti chama la wana, basi utaula japo si kama namba 1 na 2.

The rest utatumia nguvu sana sana.
 
Hatuhitaji taifa la aina hiyo la kubebana kupitia serikali
 
njia rahisi ya kupata pesa:-
*download picha za noti mbalimbali zenye thamani kubwa,
*print picha za noti,
*tajiri mpya MJINI ni wewe!
anza kula ANA$A.
 
Back
Top Bottom