Nimeikumbuka JamiiForums ya zamani

Nakumbuka kwenye kiingereza debate , kulikuwa na debate Kati ya Kiranga vs Mwita25.
Ilikuwa Ni burudani saana kipindi hicho.
 
Acha upuuzi,yani usijiunge kipindi kitu kipo kizuri uje ujiunge kikiwa kibaya kimeharibik na kupoteza ubora wake!? Wew umekua nzi kwamba unapenda uchafu!


Watu wa aina yako ndo wanashusha hadhi JF na nyuzi za kishamba kama hizi! Leta mada ya maana watu wajadili...kuleta uzi zembe kama huu kuna saidia vp JF kua bora!?

Na je kama zamani hukuepo na palikua bora zaidi,huoni ongezeko la member kama wew ndo linaharibu hadhi,mana saiv upo humu na pameshuka ubora.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…