Nimeikumbuka JamiiForums ya zamani

Nimeikumbuka JamiiForums ya zamani

Kuna Dada alikuwa anaitwa Smile sikuwai kumuona wala kumjua ila nilimzimikiaga mazima aligoma kunipa namba pm, angefanya hivyo tongozo lingemuhusu.
Kuna Mwita25 huyu alikuwa anaongea ngeli, Masanilo @Dr slaa, nape nauye, mwigulu nchemba, Ben Saanane,Lizzy, Kongosho, @maleria sugu, Ritz, Rejao, Pdidy, Kiranga mpagani mjanja, Mzizi mkavu, The Boss. Nyani Ngabu lugha zake za jeuri zilimjengea maadui wengi wa kwenye keyboard bila yeye kujua na siku alipoingia kwenye 18 za wala vumbi walimtimulia vumbi la kutosha. Ulikuwa ukikutana na Habari ni Habari za moto kweli sio sasa hivi uwongo mwingi.
Nakumbuka kwenye kiingereza debate , kulikuwa na debate Kati ya Kiranga vs Mwita25.
Ilikuwa Ni burudani saana kipindi hicho.
 
Acha upuuzi,yani usijiunge kipindi kitu kipo kizuri uje ujiunge kikiwa kibaya kimeharibik na kupoteza ubora wake!? Wew umekua nzi kwamba unapenda uchafu!


Watu wa aina yako ndo wanashusha hadhi JF na nyuzi za kishamba kama hizi! Leta mada ya maana watu wajadili...kuleta uzi zembe kama huu kuna saidia vp JF kua bora!?

Na je kama zamani hukuepo na palikua bora zaidi,huoni ongezeko la member kama wew ndo linaharibu hadhi,mana saiv upo humu na pameshuka ubora.
 
Back
Top Bottom