Nimeikumbuka JamiiForums ya zamani

Jf ya upendo wa kweli Ars Grp.
Jamani natamani kulia mpo wapi??
PakaJimy, Mzee wa rula, ArushaOne, Preta, Philipo Blacklady nk.
Vipi mko wapi.??
Waiteeeeeeeee, waite wakalishe chini na uwatoe hofu moyoni waambie waryessssss @misschagga na farkhina ni wahenga. Ika farkhina nlimjulia jukwaa la mapishi huko
Wapi hawa watu :

OLESAIDIMU
miss chagga
MUSA ALLAN
farkhina

udi tu tumeimiss jf yetu
 
Kumbe na wewe ni "Mhenga"?
 
Daaah Money Penny umenikumbusha mbali sana kutaja hao watu. Hasa STUNTER ambae mwazoni alipokeaga za uso sana ila tukaja kumuelewa tu kama alivyo.
 
Nashukuru kumbe ata mimi Zero IQ huwa naconfice watu na Huko Opera News ndio wapi mkuu kuliko na habari zangu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Jf ya upendo wa kweli Ars Grp.
Jamani natamani kulia mpo wapi??
PakaJimy, Mzee wa rula, ArushaOne, Preta, Philipo Blacklady nk.
Vipi mko wapi.??
Muongeze ndani na Liverpool. Tawi la arusha lilikuwa na nguvu sana, lilikuwa na Umoja, upendo na mshikamano.
Dar ni watu wachache tu tulikuwa tukikutana kwa kaka Mtambuzi, LEO TUKO HAPA.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]asante dada nimeshakaribia ila kuhusu malipo jaribu kuongea na kina Maxence Melo na Mike Mushi labda wanaweza kukuingiza kwenye payroll yao chap[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamhuri ya Muungano wa Twitter
 
Nashukuru kumbe ata mimi Zero IQ huwa naconfice watu na Huko Opera News ndio wapi mkuu kuliko na habari zangu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna app inaitwa opera news ni mshirika wa opera mini huko nilikuwa nakutana na nyuzi nyingi sana za jf yaani hauwezi amini hadi nilishakufahamu kuwa wewe ni muuza chips kule kule kabla hata sijaja huku[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Wewe mbona kama mhenga mwenzetu eti..
Anyway, asante sana kwa kutambua uwepo wangu!
 
JF ya zamani niliifurahia sana jamanii..
Kuna member walinivutia mnoo miaka ya 2011
Masai dada
Badieby na yule mwarabu wake memsahau..
Eiyer
Asprin
Lara 1 huyu dada alijua kuwakomesha wanaume wa jf jamani
Mentor
Miss Chagga
Wengine wamenitoka kidogoo!
 
Ooh ahsante sana sikujua kuna watu wanakubali michango yangu
 
6- Mshana jr, huyu avatar yake kulikuwa na mbaba hivi kibonge. Kati ya watu wote jamiiforumz, avatar yake ni kati ya chache nilizowahi kuhisi ni avatar za kweli. Kama sijamchanganya na mtu mwingine basi yeye alipenda mambo ya uganga uganga sana
 
Karibu mwaya yawezekana tupo wengi tu tunaokukubali ila nahisi wengine labda hawawezi kusema binafsi mimi mtu ambaye namuappreciate huwa namuacknowledge haijalishi tunajuana au hatujuani ila kama natambua mchango wake sehemu na ninamkubali huwa nasema tu
Ooh ahsante sana sikujua kuna watu wanakubali michango yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…