Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani, nimeshakaribia.Asante dear
Karibu JF
Uliwaza kama mimi dadaSiku zote najuaga wewe ni mgeni wa zamani
Siku zote najuaga wewe ni mgeni wa zamani
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] muuza kiepe Maarufu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna app inaitwa opera news ni mshirika wa opera mini huko nilikuwa nakutana na nyuzi nyingi sana za jf yaani hauwezi amini hadi nilishakufahamu kuwa wewe ni muuza chips kule kule kabla hata sijaja huku[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mimi na wewe ni kuleeeee. Hivi unaita women empowerment au?? Unanikosha sometimes na saa nyengine unanivuruga mpaka nakimbia🤣🤣🤣🤣Aisee mbona watu wengi wanasema jamii forums ya zamani ndo ilinoga au kwani kuna jamii forums ngapi? Anyway mimi jamii forums kama jamii forums nimeanza kuitumia vizuri mwaka huu
Natumia app mimi browser huwa inanitia uvivu na nikiingia kwa browser ni dakika mbili nimetoka ila kwenye app huwa nakesha zamani nilikuwa nasoma nyuzi za jf kupitia opera mini na opera news nakumbuka nilivyokuwa nasubiria hadithi za Mzizi Mkavu zile za majini nilikuwa nazifuatilia mwanzo hadi mwisho kupitia opera mini
Ila kuna hawa watu Zero IQ Money Penny aggyjay hawa nilianza kusoma nyuzi zao kupitia opera news mwaka huu na kwa kiasi fulani kupitia zile nyuzi ndipo niliposhawishika rasmi kuwa mwanachana wa freemason sorry jamiiforums
Ila kiukweli sijawahi jutia kuwa member yaani humu ndimo ninamomalizia stress zangu maana kuna watu nawakubali sana na michango yao humu jf
Jassue Khantwe cute b Saint anne Atoto Sakayo Sky Eclat Evelyn Salt Cookie Smokey Rebeca 83 Ulweso joanah kapeace manengelo Extrovert Relief Mirzska rikiboy troublemaker Mshana Jr Equation x
Wapo wengine wengi ambao sijawataja hapa na ninatambua michango yao ila hawa niliowataja aisee huwa wananifurahisha mno humu
Japo kati ya wote hao niliowataja ninafayehamiana naye nje ya jf ni mmoja tu Jassue ambaye ni rafiki yangu sana sema humu hayupo active kivile ila hao wengine wote hatufahamiani nje ya jf huwa ninawakubali tu humu ndani na mimi ndugu na marafiki zangu karibu wote siyo watumiaji wa jf kabisa
NB: Kwa wale wanaopenda kujifunza nasikitika kusema kwamba hii hadithi yangu haifundishi chochote (natania) ila mtoa mada samahani kwa kuweka comment ndefu inayokaribia kufikia thread yako[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji2210][emoji2210][emoji2210][emoji2210]
@edelyn huwa nafikiri wewe ni member mkongwe humu ujue!!Aisee mbona watu wengi wanasema jamii forums ya zamani ndo ilinoga au kwani kuna jamii forums ngapi? Anyway mimi jamii forums kama jamii forums nimeanza kuitumia vizuri mwaka huu
Natumia app mimi browser huwa inanitia uvivu na nikiingia kwa browser ni dakika mbili nimetoka ila kwenye app huwa nakesha zamani nilikuwa nasoma nyuzi za jf kupitia opera mini na opera news nakumbuka nilivyokuwa nasubiria hadithi za Mzizi Mkavu zile za majini nilikuwa nazifuatilia mwanzo hadi mwisho kupitia opera mini
Ila kuna hawa watu Zero IQ Money Penny aggyjay hawa nilianza kusoma nyuzi zao kupitia opera news mwaka huu na kwa kiasi fulani kupitia zile nyuzi ndipo niliposhawishika rasmi kuwa mwanachana wa freemason sorry jamiiforums
Ila kiukweli sijawahi jutia kuwa member yaani humu ndimo ninamomalizia stress zangu maana kuna watu nawakubali sana na michango yao humu jf
Jassue Khantwe cute b Saint anne Atoto Sakayo Sky Eclat Evelyn Salt Cookie Smokey Rebeca 83 Ulweso joanah kapeace manengelo Extrovert Relief Mirzska rikiboy troublemaker Mshana Jr Equation x
Wapo wengine wengi ambao sijawataja hapa na ninatambua michango yao ila hawa niliowataja aisee huwa wananifurahisha mno humu
Japo kati ya wote hao niliowataja ninafayehamiana naye nje ya jf ni mmoja tu Jassue ambaye ni rafiki yangu sana sema humu hayupo active kivile ila hao wengine wote hatufahamiani nje ya jf huwa ninawakubali tu humu ndani na mimi ndugu na marafiki zangu karibu wote siyo watumiaji wa jf kabisa
NB: Kwa wale wanaopenda kujifunza nasikitika kusema kwamba hii hadithi yangu haifundishi chochote (natania) ila mtoa mada samahani kwa kuweka comment ndefu inayokaribia kufikia thread yako[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji2210][emoji2210][emoji2210][emoji2210]
Mimi pia nilijiunga sababu ya mauzi Uzi yako ya zamani;Wewe mbona kama mhenga mwenzetu eti..
Anyway, asante sana kwa kutambua uwepo wangu!
Humu kuna member anaitwa lifecoded anatema madini sio ya kawaida,jamaa hana majivuno wala hajitapi kabisa! kuna FaizaFoxy huyu anakujibu kwa fact with an evidence,huyu hua anadeal na mtu kama atakavyokuja,ukumuheshimu anakuheshimu,ukimletea lugha mbovu anakupokea kama ulivyokuja,
Kuna huyu Mentor shabiki wa Chelsea,anamwaga madini utatamani apewe Taifa stars awe kocha! pia kuna Pascal Mayalla huyu yupo vizuri ila asijiingize kwenye chuki za udini,mkuu barafu yupo vizuri hasa mambo ya aviation industry,
Kifupi nawakubali member wote wa JF coz kila mtu ana style yake,hatuwezi kufanana,utofauti wetu ndio unaouikamilisha jamii,jamii haiwezi kuendelea kama itakua na watu wanaofanana na wanaowaza sawa!
Long live JF.
[/QUOTE.
Amina!
Sijakubali kuwa mtu wa sita kwenye listKila zama na zama zake well hata mie walonivutia kujiunga na jf walikuwa lara 1 , DEMBA heven on earth Kaizer Dark City Mentor
Nilikuwa nafurahia namna tu wanavyojamiiana humu ndani, sijawahi kujutia kujiunga.
Well naipenda jf the way ilivyo hata sasa na navutiwa na watu wengi tu kwa michango yao na namna tunavyojamiiana. Jf huifanya siku yangu kuwa murua kabisa
cute b Mentor Heaven Sent manengelo Extrovert Khantwe Evelyn Salt Mother Confessor Madame B MO11 Kaboom Eli79 Hawachi Shadeeya Ulweso Edelyn manengelo @meeya RRONDO Shunie Sakayo Thad The Monk
na wengine weeeeeengi ambao sijawataja.
Hahaha hahahaMimi pia nilijiunga sababu ya mauzi Uzi yako ya zamani;
Nashangaa sikuhizi auandiki ma threads kabisa sijui unakwama wapi mama ake.Hahaha hahaha
Mauzi gani eti babaa...
Wewe si ulisema huwa nakuvuruga?!Kila zama na zama zake well hata mie walonivutia kujiunga na jf walikuwa lara 1 , DEMBA heven on earth Kaizer Dark City Mentor
Nilikuwa nafurahia namna tu wanavyojamiiana humu ndani, sijawahi kujutia kujiunga.
Well naipenda jf the way ilivyo hata sasa na navutiwa na watu wengi tu kwa michango yao na namna tunavyojamiiana. Jf huifanya siku yangu kuwa murua kabisa
cute b Mentor Heaven Sent manengelo Extrovert Khantwe Evelyn Salt Mother Confessor Madame B MO11 Kaboom Eli79 Hawachi Shadeeya Ulweso Edelyn manengelo @meeya RRONDO Shunie Sakayo Thad The Monk
na wengine weeeeeengi ambao sijawataja.
Au unanifananisha eti...Nashangaa sikuhizi auandiki ma threads kabisa sijui unakwama wapi mama ake.