Nimeikuta Mahali

Jackal

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
9,971
Reaction score
13,608
"*Kitendo cha kuchukua tu namba ya simu ya demu wa Dar, tayari nywele zake zinafumuka muda huo huo, njaa inamuuma dakika hiyo hiyo, simu yake inaharibika siku hiyo hiyo, siku yake ya kuzaliwa inafika saa hiyo hiyo, mama yake anaumwa ghafla hapo hapo, na kodi yao ya nyumba inaisha dakika hiyo hiyo*. 🤣😆😜
 
Acha kabisa mkuu
 
Juzi nimemtoa out tumezunguka weeee namwambia twende guest house anasema siku nyingine.
Nikasema moyoni mbona hela na msosi hakusema siku nyingine?
Nikampeleka g/house nikamtafuna.
Cha mwanaume ni mwiiba.
 
Hebu acheni kuchukua namba mnatutia hasara.
Mimi hapa simu yangu nzima kabisa , ghafla inakufa, kodi nimelipa ya mwaka ghafla inaisha, wazazi wanaugua ghafla.

Acheni kututia mikosi[emoji23][emoji23][emoji23]
why haya yote!
hivi huku huwa ni kukomoana? ama
 
Hahaha kwaio ulimbaka
Juzi nimemtoa out tumezunguka were namwambia twende guest house anasema siku nyingine.
Nikasema moyoni mbona hela na msosi hakusema siku nyingine?
Nikampeleka g/house nikamtafuna.
Cha mwanaume ni mwiiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…