Oppomall
JF-Expert Member
- Feb 8, 2017
- 3,683
- 3,966
@cute b weeeh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hebu acheni kuchukua namba mnatutia hasara.
Mimi hapa simu yangu nzima kabisa , ghafla inakufa, kodi nimelipa ya mwaka ghafla inaisha, wazazi wanaugua ghafla.
Acheni kututia mikosi[emoji23][emoji23][emoji23]