[emoji23][emoji23][emoji23]unauliza majibu ..future wife anatafunwa haswaapole yetu tena? Si unajua mahawala hawa achani!! Muda wowote ukitaka kupasha kiporo mwapashana tu. Pole zaidi ni kwa husband materials wana kazi ya ziada ya kufanya.
Sijui na Mimi wangu wanamtafuna uko wadau.
Na mchunwe tuu hamna namna.
waweza kuta ndiyo wewe[emoji23][emoji23][emoji23]unauliza majibu ..future wife anatafunwa haswaa
Hahahha na ww si unatafunaa huko..karmaawaweza kuta ndiyo wewe
hahaha utanieleza vizuri
wife material wa baadae kwaiyo kama Mimi natafuna. na wewe ndio nikuache wa kutafane.Hahahha na ww si unatafunaa huko..karmaa
Usije ukafungiwa kama seiph shabani mwezi mzima ndani; akajikuta million sita yake hana mkuuKuweni na huruma basi muwe mnatubakishia hata za sembe za watoto mnakung'uta kila kitu kama vibaka[emoji38][emoji38]
haha mnasaidiana usione wivuwife material wa baadae kwaiyo kama Mimi natafuna. na wewe ndio nikuache wa kutafane.
wivu naona mimi
Wewe unajiweka kando sioNa mchunwe tuu hamna namna.
OhooooWengine ukichukua namba tu,hata mama yake humjui utasikia pah mama anaumwa hela za matibabu zinahitajika...sawa tu jamani dada zetu tunawapenda ila maisha ya ujanja ujana yanawapenda sana
Utafikiri nchi imepata janga la ukame, kama vile tupo somalia mzee baba,acha waumwe na njaa mpaka wakome..."Baby nina njaa,,yaani"
Inawezekana kukawa na force of attraction kubwa,yani penzi lako lina mvuto wa aina yake mpaka umeme unakataUmeme,gesi vyote vinaisha.
Sema tunasema tu hapa ila huwa hatuchomoki kila mtu anakula urefu wa kamba yakeNi mikosi eti. Hebu fikiria tuu mtu kuja tuu vitu vyako vinaanza kuharibika na wazazi wanaumwa.
ila inawezekana bado hajazaliwa.haha mnasaidiana usione wivu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila inawezekana bado hajazaliwa.
au yupo bado vidudu na hajaingia kwenye tasnaia;
hahaha sema wewe pasua kichwa, utakuwa unaenda nae ngadu kwa ngadu