Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
FirstLady1, mmekuwa siyo wavumilivu wa kusubiri niwapashe yale niliyotaka kuwapasha. Inaonekana mmetanguliza mawazo yenu zaidi kuliko ukweli ya yaliyonikuta. hivyo nimeghahiri kuendelea kuwa hiki kisa ambacho kimsingi kingewapa mambo machache ya kujifunza!
Nasubiri muendelezo, kama hutaki kuweka hapa nitupie hata kwa pm.