Nimeingia kwa fujo zote, sibishi hata Hodi!

Nimeingia kwa fujo zote, sibishi hata Hodi!

ROMAN REIGNS

Member
Joined
Apr 24, 2015
Posts
30
Reaction score
3
Wakuu,
Poleni na majukumu na ongereni pia. Ndo kwanza nimepata taarifa ya uwepo wa jukwaa hili. Nipo masomoni nchini Gambia. Mimi ni mtanzania typical nimezaliwa mkoani Tanga!
Sasa wadau naona maforums ya kumwaga, nami napenda kubadilishana mawazo na uzoefu na kushare mambo mbalimbali na watu mbalimbali.
Nakaribishwa jukwaa gani ambalo linaweza kunifanya nisijute kujiunga? Jamani naombeni na sababu za kujiunga!
 
Kumbe upo nje ya nchi...... jukwaa la elimu linakufaa
Karibu sana
 
Back
Top Bottom