Nimeingia kwenye 18 ya Mapenzi ya Mlokole lakini nimetoka kapa

Nimeingia kwenye 18 ya Mapenzi ya Mlokole lakini nimetoka kapa

Sinaga hamu na mabinti wa kilokole, nilishakuwa na binti mmoja hivi yeye kila siku yupo bize na kanisani kumbe analiwa na waimba kwaya wenzake,
Ila mimi nikiomba papuchi napigwa kalenda kama vile naomba ajira.
Jaman NI kweli alikuwa anakuwa na wanakwaya au ulijishtukia Tu boss, maana wanaume wenye ego ndogo hawanaga confidence (kujiamini) hasa akinyimwa alichoomba🚶🚶🚶
 
Nawe vistory vyako vya kihanga vinaboa
Sasa Kwanini upo hapa kama nakuboa?! 😂😂😂
Walokole wengine bwana, ndio maana hamkamati ndege mpaka muoteshwe🚶🚶
 
Sisi tunajuana wenyewe,japo kua na mimi ni mlokole lakini kuna mlokole hapa naona sasa nishagonga mwamba,kwa sababu ndoano zangu zote naona sasa zimegonga mwamba japo kua naona kama vile ananikazia mimi tu kutokana labuda na uchumi wangu kua unstable,mana nikimcheki tabia zake sioni ulokole wowote bali kama ananifichia makucha tu.Mi naona nayeye ni anataka sitaki kutokana na mambo flani anayoona simtimizii.
Unajua Mimi baalia, embu mtimizie Kila siku anachotaka alafu uone atafanyaje
Fanya Kwa wiki 2 mpaka 3
Hapo utafaulu
Wenzio wanaendaga kuchukua mikopo ya magari, hela kumpata demu, we unafeli wapi?! 🚶🚶🚶🚶
 
Mmmh sio kweli bwana, SA kwenye kwaya wanahonganaje labda?? Alafu mkesha wanakulanaje?! Acha uongo uende Mbinguni

Mkuu mm ni ex-mlokole niliyekata kamba, thats my little experince...., Yaani ni kama walivyo Wasabato, hawa wanahimizana wapendane wao kwa wao na hii inapelekea Ma Kwaya Masta Wafanye UfiSi.
 
Mkuu mm ni ex-mlokole niliyekata kamba, thats my little experince...., Yaani ni kama walivyo Wasabato, hawa wanahimizana wapendane wao kwa wao na hii inapelekea Ma Kwaya Masta Wafanye UfiSi.
Unaonaje wewe ukijiunga na kwaya mpaka ukawa kwaya master?!
Maana naona unavyowasifu makwaya master kumbe hawana lolote🏃🏃🏃🏃
Unadhani ukiwa kwaya master utafanya cha ziada au tofauti na hao makwaya master unaowahisi wanatafuna mademu WA KILOKOLE?!
 
Sawa naboa, kwahiyo?!🙄
What are you going to do about it?! 🙄
Such a no brainer😂😂
Kwa kawaida watu kama nyie tukiwaambia ukweli mnajirudi ingawa kutakuwa na kipindi cha kujibaraguza. Mara nyingi wanawake wa umri wako wakikoswa kuwekwa m.boo sawasawa hii ndiyo inakuwa matokeo. Acha kufikiria masuala ya ngono. Jiheshimu na utapata utulivu wa moyo. Unaboa
 
Aisee
Ningekuwa naboa usingejiunga na Jamii forum kuniambia naboa😂😂😂
Yani jinsi gani nimekuumiza kichwa with my intelligence na haujawahi ona kama Mimi so far😂, sasa roho ikakuuma weeee mpaka ukajiunga kuniambia naboa Tu?!
You are a pathetic piece of sheeeeyat🤧

Ningekuwa naboa anti, nisingekuwa na viewers zaidi ya elfu 3 na comment zaidi ya 120😂😂😂

Ila nakushukuru Kwa kunisaidia kuweka uzi wangu on top Kwa comment zako za kishoga🤕

Kapange foleni Dubai, bongo hatununui maji taka, tunakemea mashoga kama wewe🚶🚶🚶poyeee😂
 
Back
Top Bottom