Nimeingia kwenye 18 ya Mapenzi ya Mlokole lakini nimetoka kapa

Sinaga hamu na mabinti wa kilokole, nilishakuwa na binti mmoja hivi yeye kila siku yupo bize na kanisani kumbe analiwa na waimba kwaya wenzake,
Ila mimi nikiomba papuchi napigwa kalenda kama vile naomba ajira.
Jaman NI kweli alikuwa anakuwa na wanakwaya au ulijishtukia Tu boss, maana wanaume wenye ego ndogo hawanaga confidence (kujiamini) hasa akinyimwa alichoomba๐Ÿšถ๐Ÿšถ๐Ÿšถ
 
Nawe vistory vyako vya kihanga vinaboa
Sasa Kwanini upo hapa kama nakuboa?! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Walokole wengine bwana, ndio maana hamkamati ndege mpaka muoteshwe๐Ÿšถ๐Ÿšถ
 
Unajua Mimi baalia, embu mtimizie Kila siku anachotaka alafu uone atafanyaje
Fanya Kwa wiki 2 mpaka 3
Hapo utafaulu
Wenzio wanaendaga kuchukua mikopo ya magari, hela kumpata demu, we unafeli wapi?! ๐Ÿšถ๐Ÿšถ๐Ÿšถ๐Ÿšถ
 
Mmmh sio kweli bwana, SA kwenye kwaya wanahonganaje labda?? Alafu mkesha wanakulanaje?! Acha uongo uende Mbinguni

Mkuu mm ni ex-mlokole niliyekata kamba, thats my little experince...., Yaani ni kama walivyo Wasabato, hawa wanahimizana wapendane wao kwa wao na hii inapelekea Ma Kwaya Masta Wafanye UfiSi.
 
Mkuu mm ni ex-mlokole niliyekata kamba, thats my little experince...., Yaani ni kama walivyo Wasabato, hawa wanahimizana wapendane wao kwa wao na hii inapelekea Ma Kwaya Masta Wafanye UfiSi.
Unaonaje wewe ukijiunga na kwaya mpaka ukawa kwaya master?!
Maana naona unavyowasifu makwaya master kumbe hawana lolote๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ
Unadhani ukiwa kwaya master utafanya cha ziada au tofauti na hao makwaya master unaowahisi wanatafuna mademu WA KILOKOLE?!
 
Ningekuwa naboa wala usingekuwa hapa
Acha egoness ya kiduanzi nyau wewe
Earn your manners plz
Such a no Brainer ๐Ÿšถ๐Ÿšถ๐Ÿšถ๐Ÿšถ
Punguza munkari, kubali kukosolewa. Unaboa kwa sredi za kitoto
 
Punguza munkari, kubali kukosolewa. Unaboa kwa sredi za kitoto
Sawa naboa, kwahiyo?!๐Ÿ™„
What are you going to do about it?! ๐Ÿ™„
Such a no brainer๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Sawa naboa, kwahiyo?!๐Ÿ™„
What are you going to do about it?! ๐Ÿ™„
Such a no brainer๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kwa kawaida watu kama nyie tukiwaambia ukweli mnajirudi ingawa kutakuwa na kipindi cha kujibaraguza. Mara nyingi wanawake wa umri wako wakikoswa kuwekwa m.boo sawasawa hii ndiyo inakuwa matokeo. Acha kufikiria masuala ya ngono. Jiheshimu na utapata utulivu wa moyo. Unaboa
 
Aisee
Ningekuwa naboa usingejiunga na Jamii forum kuniambia naboa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Yani jinsi gani nimekuumiza kichwa with my intelligence na haujawahi ona kama Mimi so far๐Ÿ˜‚, sasa roho ikakuuma weeee mpaka ukajiunga kuniambia naboa Tu?!
You are a pathetic piece of sheeeeyat๐Ÿคง

Ningekuwa naboa anti, nisingekuwa na viewers zaidi ya elfu 3 na comment zaidi ya 120๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Ila nakushukuru Kwa kunisaidia kuweka uzi wangu on top Kwa comment zako za kishoga๐Ÿค•

Kapange foleni Dubai, bongo hatununui maji taka, tunakemea mashoga kama wewe๐Ÿšถ๐Ÿšถ๐Ÿšถpoyeee๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ