Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
-
- #61
πππππππBinti wa kilokole anaweza kuanzisha urafiki na wewe ukadhani umepata zari la mentali, unajikuta unapoteza mda kuchat naye ukidhani utakula mzigo, ukiomba mzigo unaanza kutumiwa meseji za mafungu ya biblia[emoji28][emoji28][emoji28]
Utaambiwa " Ole wao wawakao tamaa za uzinifu...[emoji1787][emoji1787][emoji1787] N.k
Mzuka wote kwishney
Sent using Jamii Forums mobile app
kumbe wewe ni changudoa? ndiyo maana unaboaYani wewe NI kilaza sijawahi ona
Anywho huna grounds za kunipasua Bwabwa weee
Katafute soko kwingine me naongeaga na marijali Tu sio michele kama wewe
#kamanaboakwaniniukohapaπ
Aisee!!! Sijui ni kweli au hadithi?Leo natoka Kanisani nakutana na mdogo wangu mmoja kachooooka maskini, nikahisi labda ana Corona.
Katika ongea ongea nae nikagundua kachapwaaa kimapenzi, aliingia kwenye 18 ya dada mmoja Mlokole alafu akaona hapati anachokitaka akasepa mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125]
Kijana: Sister Penny bwana, me nilimpenda Sana Yule demu Yule pale lakini Kila nikijaribu kurusha ndoano zangu zinafeli,
Money Penny: Ulirushaje ndoano tena dogo
Kijana: nilirusha ndoano nyingi Sana Ila hizi 3 ndio zinanifanya mpaka sasa nicheke na kuchoka
Ndoano ya 1:
Nilimkaribisha nyumbani kwetu, ndugu zangu sikuhio walishangaa nawafukuza namleta Mlokole, akaja akapokelewa vizuri siku hio Kila MTU nyumbani aliokoka, akaombea nyumba nzima akaondoka, nyumbani wakacheka Sana kuona nimempata binti WA KILOKOLE, basi katika wasiliana wasiliana nakaniambia anataka kuwa Kila wiki tuwe tunafanya fellowship pale nyumbani, basi Kila ijumaa kukawa na fellow-ship home Kwa muda WA Miezi 2.
Nikawa nafunga na mie na kuomba nikawa kama Mlokole lakini nimependa so najifunza Kwa bidii kuwa Mlokole
Ndoano ya 2:
Alikuwa ashazoea mazingira ya home, nikamkaribisha aje home skumoja tukawa tunaangalia Tv, movie ya Mapenzi, ikafika sehemu wale waigizaji kwenye TV wakawa wana-kiss akawa anaona aibu, nikamsogelea na Mimi nimbusu akanistopisha, namwuliza kulikoni Ananiambia unajua nimewaza mbali sana hapa, nilipowaona hawa waigizaji nikamkimbia Abraham na Sarah, nikawaza kipindi Chao walipendanaje?! Dah, hapo niliposkia ananiletea sound za Biblia nikakata hata stimu ya kuendeleza nilichopanga
Ndoano ya 3:
Nikamwambia naota mapepo, nahisi majibu Mahaba usiku nikilala. naomba uje uombee chumba changu, akakubali.
Akaja kesho yake tukafanya maombi chumbani kwangu fresh alipomaliza, nikamshika namvuta aje kitandani, si unajua tena dada Penny...
Money penny: enhe, ikawaje?!
Kijana: doh nilifeli mbaya
Akaniambia Kwa ukali unataka kunifanya nini?wataka kunibaka?! Nikamkatalia, nikamwambia unajua sister Mimi nakupenda Sana, sitaki kukuchezea nataka kukuoa[emoji23][emoji23]
Yule demu akawa analainika aliposkia anataka kuolewa akaniambia ngoja nikwambie Kaka yangu, sio kwamba nakataa kuolewa na wewe, lakini juzi Kaka Fredi pale Kanisani kwenye sekshen ya maombi alinifuata akaniambia nimekuomba, mume wako ni Godi, kwahiyo sioni wapi nitaolewa na wewe ndio nashangaa na Mimi namwamini Sana Kaka Fredi NI mwana maombi WA nguvu hivyo Mimi na wewe haitawezekana kuoana.
Money penny: doh pole Sana Mdogowangu, sasa unafanyaje?!
Kijana: nikamfukuza, akaondoka na akawa akinitafuta kwenye simu sipokei, hasa ule muda WA fellowship akipiga sipokei nikaishia kumblock[emoji124]
Lakini hapa nimemwona na Godi roho imeniuma Sana, Yani binti aliingia kwenye 18 zangu, kinachoniuma NI kwamba sijui nimekosa kosaje?!
Jamani kijana WA watu alifeli wapi?! Mnaweza kunisaidia?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Chezeiya Mungu anakuona wewe[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
Mbaya sanaWrite your reply...DAAH WALE LABDA WAKUELEWE WEWE ILA NSHAWAHI KUMSOUNDISHA MMOJA KIBISHI BISHI AKAINGIA LAINI ILA KUTOA TUNDA DAAH UTASEMA NILIKUWA NIKAMA VILE MUHITIMU UALIMU SHAHADA YA SANAA ANAENGOJA AJIRA SERIKALINI HUO MCHAKATO ULIKUWA MREFU SANA
NIKAAMIA HADI KANISA LAO MAMBO YA MIKESHA KWENDA NI YAKE YAANI USIOMBE NIKASEMA KAMA KUKU NI WAKO ATAINGIA BANDANI TU MAANA DAAH SIJAWAH FUKUZIA PAPUCHI KIBISHI HIVI NIKAINGIZA STORY ZA KUMUOA AKAINGIA KINGI
SIKU MOJA NIKAJIFANYA NPO MAGETON NIMEZIDIWA NAUMWA ALIVOKUJA NIKAANZA UCHOKOZI ALIANZA KUKATAA LAKINI SHETANI NI SHETANI TU AKAINGIA KINGI NIKATAFUNA BAADA YA HAPO AKAWA ANAILETA MPAKA BASI YANI NON STOP SUPPLY OF PAPUCHI SOMETIMES ANAAGA ANAENDA KANISANI ANAKUJA KUSHINDIA MJALUBENG DAAH ACHA TU
ILA KAMA KAWAIDA NIKAMPIGA CHINI NB : HUA HATUACHI TUNAPUNGUZA MAWASILIANO TU HALAFU TUNATOWEKA
Relax mkuu! achana naye huyokumbe wewe ni changudoa? ndiyo maana unaboa
Mine is her eye opener
Unaonaje wewe ukijiunga na kwaya mpaka ukawa kwaya master?!
Maana naona unavyowasifu makwaya master kumbe hawana lolote[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Unadhani ukiwa kwaya master utafanya cha ziada au tofauti na hao makwaya master unaowahisi wanatafuna mademu WA KILOKOLE?!
Sawa bwabwa, pole maana clientelle huna ππkumbe wewe ni changudoa? ndiyo maana unaboa
Bro we unaimba kwaya?!π
UnaboaSawa bwabwa, pole maana clientelle huna ππ
Either way, unamsaidiaje kijana WA watu?!
Huna soko bwabwa poyeeeeππUnaboa
Me namshangaa sijui katokea wapππππ
Wasikilize majrijali, shauriako wanakushangaa wanaume wenzio ujue, hawakuelewi unataka nini?!Mine is her eye opener
Kwahiyo unamsaidiaje kijana WA watu??Aya sawa mkuu, sina cha kuongezaa
hao Walokoe wakikwambia anaolewa na GODI sio Godfrey ni GOD (Mungu)We Acha fujo msaidie kijana WA watu kampenda mlokole
ππππππππ Lakini weweπ nakugawaaaπhao Walokoe wakikwambia anaolewa na GODI sio Godfrey ni GOD (Mungu)
wanajikabidhi kwa Mungu mpaka atakapopata mume mwema na wanachaguliwa na mama Mchungaji au huyo jamaa wa maombi lkn mpaka amguse ppchi kwa upako
kwa hiyo aliyekuwa naye muulize vizuri sio Francis, John? yeye kajua ndiye GODI (GOD)
asikate tamaa kesho ni yeye
ππππ Unaonaje ukiwa kiongozi WA hayo yote alafu uwamegeπππunanitisha Money Penny kunigawa tena!!!!
mm walokole na wasabato wanawake wao nawaogopa sana,
watakunyima ppchi lkn kiongozi atamegewa kisa ana maombi, miujiza, baraka nk