Sawa naboa, kwahiyo?![emoji849]
What are you going to do about it?! [emoji849]
Such a no brainer[emoji23][emoji23]
Umeona ee
Hongera sanaMakanisa ya wasabato ya wanawake wazuri sana,halafu wamesoma,nina mpango wa kutafuta mke huko
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina msaada nae,ajiongeze kiume.Hongera sana
Sasa wamsaidiaje huyu kijana wetu aliefeli
Tatizo kusoma magazeti na kuchat kwa simu kunako 6X6 km gogo vileππππ Unaonaje ukiwa kiongozi WA hayo yote alafu uwamegeπππ
ππππππππππππππTatizo kusoma magazeti na kuchat kwa simu kunako 6X6 km gogo vile
mm nataka zile za popo wa covid kanyea dari, mbuzi kagoma nk
WAO HAWATAKI DHAMBI utafikiri walimuona Eva akimpa tunda Adam
Acha roho mbaya ndugu, Mungu kasema pendaneni
Na yeye aokoke tu. Hakuna namnaEither way, unamsaidiaje kijana WA watu?!
jaman jaman story zingine hizi dah kuweni serious kidogo, nimecheka hatarLeo natoka Kanisani nakutana na mdogo wangu mmoja kachooooka maskini, nikahisi labda ana Corona.
Katika ongea ongea nae nikagundua kachapwaaa kimapenzi, aliingia kwenye 18 ya dada mmoja Mlokole alafu akaona hapati anachokitaka akasepa mwenyeweππππ
Kijana: Sister Penny bwana, me nilimpenda Sana Yule demu Yule pale lakini Kila nikijaribu kurusha ndoano zangu zinafeli,
Money Penny: Ulirushaje ndoano tena dogo
Kijana: nilirusha ndoano nyingi Sana Ila hizi 3 ndio zinanifanya mpaka sasa nicheke na kuchoka
Ndoano ya 1:
Nilimkaribisha nyumbani kwetu, ndugu zangu sikuhio walishangaa nawafukuza namleta Mlokole, akaja akapokelewa vizuri siku hio Kila MTU nyumbani aliokoka, akaombea nyumba nzima akaondoka, nyumbani wakacheka Sana kuona nimempata binti WA KILOKOLE, basi katika wasiliana wasiliana nakaniambia anataka kuwa Kila wiki tuwe tunafanya fellowship pale nyumbani, basi Kila ijumaa kukawa na fellow-ship home Kwa muda WA Miezi 2.
Nikawa nafunga na mie na kuomba nikawa kama Mlokole lakini nimependa so najifunza Kwa bidii kuwa Mlokole
Ndoano ya 2:
Alikuwa ashazoea mazingira ya home, nikamkaribisha aje home skumoja tukawa tunaangalia Tv, movie ya Mapenzi, ikafika sehemu wale waigizaji kwenye TV wakawa wana-kiss akawa anaona aibu, nikamsogelea na Mimi nimbusu akanistopisha, namwuliza kulikoni Ananiambia unajua nimewaza mbali sana hapa, nilipowaona hawa waigizaji nikamkimbia Abraham na Sarah, nikawaza kipindi Chao walipendanaje?! Dah, hapo niliposkia ananiletea sound za Biblia nikakata hata stimu ya kuendeleza nilichopanga
Ndoano ya 3:
Nikamwambia naota mapepo, nahisi majibu Mahaba usiku nikilala. naomba uje uombee chumba changu, akakubali.
Akaja kesho yake tukafanya maombi chumbani kwangu fresh alipomaliza, nikamshika namvuta aje kitandani, si unajua tena dada Penny...
Money penny: enhe, ikawaje?!
Kijana: doh nilifeli mbaya
Akaniambia Kwa ukali unataka kunifanya nini?wataka kunibaka?! Nikamkatalia, nikamwambia unajua sister Mimi nakupenda Sana, sitaki kukuchezea nataka kukuoaππ
Yule demu akawa analainika aliposkia anataka kuolewa akaniambia ngoja nikwambie Kaka yangu, sio kwamba nakataa kuolewa na wewe, lakini juzi Kaka Fredi pale Kanisani kwenye sekshen ya maombi alinifuata akaniambia nimekuomba, mume wako ni Godi, kwahiyo sioni wapi nitaolewa na wewe ndio nashangaa na Mimi namwamini Sana Kaka Fredi NI mwana maombi WA nguvu hivyo Mimi na wewe haitawezekana kuoana.
Money penny: doh pole Sana Mdogowangu, sasa unafanyaje?!
Kijana: nikamfukuza, akaondoka na akawa akinitafuta kwenye simu sipokei, hasa ule muda WA fellowship akipiga sipokei nikaishia kumblockπΆ
Lakini hapa nimemwona na Godi roho imeniuma Sana, Yani binti aliingia kwenye 18 zangu, kinachoniuma NI kwamba sijui nimekosa kosaje?!
Jamani kijana WA watu alifeli wapi?! Mnaweza kunisaidia?! πππππππππ
Chezeiya Mungu anakuona weweπππππ
View attachment 1448231

bwaanaaa usicheke msaidie huyo kijana wa watu jamaa!jaman jaman story zingine hizi dah kuweni serious kidogo, nimecheka hatar
doh! hapo yenyewe alishaokoka!
Hivi hapo nimsaidie nini jaman anyway watu kama hawa lazima wawepo ili wengine tufurahi tu story zaobwaanaaa usicheke msaidie huyo kijana wa watu jamaa!
jamaan, msaidie mwenzio sambaza upendo!Hivi hapo nimsaidie nini jaman anyway watu kama hawa lazima wawepo ili wengine tufurahi tu story zao
daah unazingua kweli alooh, unamoyo kweri wa kufukuzia ongelaWrite your reply...DAAH WALE LABDA WAKUELEWE WEWE ILA NSHAWAHI KUMSOUNDISHA MMOJA KIBISHI BISHI AKAINGIA LAINI ILA KUTOA TUNDA DAAH UTASEMA NILIKUWA NIKAMA VILE MUHITIMU UALIMU SHAHADA YA SANAA ANAENGOJA AJIRA SERIKALINI HUO MCHAKATO ULIKUWA MREFU SANA
NIKAAMIA HADI KANISA LAO MAMBO YA MIKESHA KWENDA NI YAKE YAANI USIOMBE NIKASEMA KAMA KUKU NI WAKO ATAINGIA BANDANI TU MAANA DAAH SIJAWAH FUKUZIA PAPUCHI KIBISHI HIVI NIKAINGIZA STORY ZA KUMUOA AKAINGIA KINGI
SIKU MOJA NIKAJIFANYA NPO MAGETON NIMEZIDIWA NAUMWA ALIVOKUJA NIKAANZA UCHOKOZI ALIANZA KUKATAA LAKINI SHETANI NI SHETANI TU AKAINGIA KINGI NIKATAFUNA BAADA YA HAPO AKAWA ANAILETA MPAKA BASI YANI NON STOP SUPPLY OF PAPUCHI SOMETIMES ANAAGA ANAENDA KANISANI ANAKUJA KUSHINDIA MJALUBENG DAAH ACHA TU
ILA KAMA KAWAIDA NIKAMPIGA CHINI NB : HUA HATUACHI TUNAPUNGUZA MAWASILIANO TU HALAFU TUNATOWEKA
π π π π πdaah unazingua kweli alooh, unamoyo kweri wa kufukuzia ongela
ni kwer kabisa ,, ila yaweza kua kweli yamemkuta mwezetu ila ss tunachukulia utanijamaan, msaidie mwenzio sambaza upendo!
kabisani kwer kabisa ,, ila yaweza kua kweli yamemkuta mwezetu ila ss tunachukulia utani
NACHEKA PEKE YANGU MPAKA RATIBA INAANZA KUVURUGIKA HAPA GHETOMAANA HUU UZI HAUISHI HAMULeo natoka Kanisani nakutana na mdogo wangu mmoja kachooooka maskini, nikahisi labda ana Corona.